Şunu aradınız:: zama za mawe (Svahili - İngilizce)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

zama za mawe

İngilizce

stone age

Son Güncelleme: 2015-04-28
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

Svahili

zama za obama…

İngilizce

the obama era...

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

Svahili

zama za mawa za mwisho

İngilizce

the end times

Son Güncelleme: 2022-10-05
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

mohammed marhoon pia anauliza: je hatumo kwenye zama za mageuzi na uwazi?

İngilizce

mohammed marhoon also has a question: aren't we in the era of reform and transparency?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

nguvu za ukandamizaji zinaweza kumaanisha serikali ya weupe katika zama za ubaguzi wa rangi na kwa hiyo zinaweza kumaanisha weupe wote.

İngilizce

forces of oppression would most probably refer to the white government in the apartheid era and thereby extend to all whites i suppose.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

lugha hiyo asili yake ni ki-galisia na kireno cha zama za kale, na ilikuwa ikizungumzwa katika jimbo lote la portucale

İngilizce

the language is originated from the galician-portuguese of medieval times, and it was spoken at all the county of portucale.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

najihisi kama mtu wa zama za mawe aliye katika karne ya 21, maana natumia njia za kijima kabisa ili kuwasiliana, huku nikitumia ishara za mikono na kuzungumza taratibu kwa sauti ya juu katika kiingereza.

İngilizce

i feel like a 21st century caveman, trying to communicate with the most primitive of ways, hand waving and speaking english in a very slow and loud way.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

global voices inaungana na mashirika mengine zaidi ya 60 yanayojihusisha na uhuru wa habari kuiunga mkono kampeni ya kamati ya kuwalinda waandishi kwa haki ya kutangaza katika zama za kidigitali , ikiulenga utawala wa obama.

İngilizce

global voices is joining more than 60 other media and press freedom organizations in supporting the committee to protect journalists’ campaign for the right to report in the digital age, targeting the obama administration.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

pia walitoa wito kwa maadhimisho ya azimio la umoja wa mataifa kuhusu haki ya faragha katika zama za digitali juu ya sheria ya lazima ya mawasiliano ya simu, tamko la pamoja juu ya mipango ya ufuatiliaji na athari zake katika uhuru wa kujieleza kanuni 13 kuhusu haki za binadamu , ili kuhakikisha heshima ya haki za binadamu katika mtandao inakuwepo.

İngilizce

they also issued a call for the observance of the un resolution about right to privacy in the digital era on the complimentary law on telecommunicatons, the joint declaration about surveillance programs and their impact in freedom of expresson and the 13 principles about human rights, in order to ensure the respect of human rights in the internet.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

baada ya habari kupokelewa katika lugha ya kiingereza kutoka kwa waandishi ambao wako kwenye ajira ya muda, inatafsiriwa katika lugha za ki-urdu na katibis - wataalamu wa mwandiko, wanaoenzi mwandiko wa toka zama za kale wa ki-urdu, wanaindika habari yote kwa mkono.

İngilizce

after the news is received in english from its part time reporters, it is translated into urdu and katibs – writers, dedicated to the ancient art of urdu calligraphy, pen – down the whole story on paper.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Daha iyi çeviri için
7,799,510,227 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam