İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
wanawake wanapaswa kukaa kimya na kuwa wanyenyekevu wakati wa kujifunza.
la mujer aprenda en silencio, con toda sujeción
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
bora lililobakia kufanywa nawe ni kukaa kimya mpaka wakati wa uchaguzi.
lo mejor que debería hacer por ahora es quedarse callado hasta esas elecciones.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mimi simruhusu mwanamke amfundishe au amtawale mwanamume; anapaswa kukaa kimya.
porque no permito a una mujer enseñar ni ejercer dominio sobre el hombre, sino estar en silencio
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
waliposikia akiongea nao kwa kiebrania wakazidi kukaa kimya zaidi kuliko hapo awali. naye paulo akaendelea kusema,
cuando oyeron que pablo les hablaba en lengua hebrea, guardaron aun mayor silencio. entonces dijo
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
katika shule nyingi za sekondari, wanafunzi walifanya migomo ya kukaa, walitumia dakika kadhaa kwa kukaa kimya na kupigania hatma ya maisha yao ya baadae.
en muchos colegios de secundaria, los estudiantes realizaron plantones, observaron minutos de silencio y protestaron por su futuro.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
tukio hilo lilihusisha kusomwa kwa mashairi yaliyotungwa na washiriki wenyewe, kuwasha mishumaa ya maombolezo inayoambatana na dakika moja ya kukaa kimya na pia kutengeneza kadi za pole zilizoandikwa kwa anuani za familia za wahanga 147 ambazo zingetumwa nchini kenya baadae.
el evento incluyó una lectura de una poesía original, una minivigilia con un minuto de silencio y también la creación de cartas dirigidas a las familias de las 147 víctimas para ser posteriormente enviadas a kenia.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: