İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
ijue mauritania kwa jicho la msanii wa kireno
la mauritania nei ritratti di un'artista portoghese
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
walimu wa mauritania wavunja ofisi ya waziri wa elimu
mauritania: ripartono le proteste degli insegnanti
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mauritania: wafanyakazi wa migodini wapinga 'aina mpya ya utumwa'
mauritania: proteste contro la "nuova schiavitù"
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
umeishi mauritania tangu lini na kitu gani kilikupeleka huko kwa mara ya kwanza?
da quanto tempo vivi in mauritania e cosa ti ha portato qui all'inizio?
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mwanablogu wa mauritania alddedd wald al sheik pia aliandika juu ya suala hili:
il blogger mauritano alddedd wald al sheik scrive a riguardo:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
gari likaharibika tukiwa parc national du banc d'arguin eneo la pwani ya mauritania.
l'auto si guastò nel parco nazionale di banc d'arguin, sulla costa della mauritania.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
dedda cheikh brahim anakosoa namna utawala wa mauritania unavyoshughulikia maandamano hayo ya walimu:
dedda cheikh brahim critica il modo in cui il regime sta affrontando le proteste degli insegnanti:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
baadae mwaka huu ningependa kufanya mazungumzo na warsha kadhaa kuwahamasisha watu nchini mauritania kuchora kutokana na uchunguzi.
entro la fine dell’anno mi piacerebbe tenere qualche conferenza e workshop per incoraggiare più persone in mauritania a disegnare dal vivo.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
nchini mauritania walimu wanasisitiza kuufanya mgogoro huu kuwa wa kiitikadi na waziri muhusika akijibu mapigo kwa kuyafanya madai yao kuwa ya kiitikadi
in mauritania gli insegnanti insistono per ideologizzare il conflitto con il ministro il quale a sua volta insiste per ideologizzare la protesta degli insegnanti.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
mwaka wa masomo unakaribia kuanza nchini mauritania na vita ndio kwanza vimeanza kwa mara nyingine baina ya waziri na baraza la walimu.
in mauritania l'anno accademico sta per iniziare, così come ricomincia la lotta tra il ministro e i sindacati.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
walimu walikichukulia kitendo hicho kama adhabu kufuatia hatua yao ya kugoma kudai haki zao na vilevile kupuuzwa kwa sheria za utumishi wa umma nchini mauritania.
gli insegnanti hanno inteso questo atto come una punizione per aver partecipato allo sciopero per rivendicare i loro diritti ed anche una violazione della legge sul servizio civile in mauritania.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
fiadeiro vilevile huchora madhari kwa kuyatazama, hujaza blogu yake ya michoro nchini mauritania na picha za maisha ya kila siku katika taifa hilo la afrika magharibi.
fiadeiro inoltre crea dei bozzetti dal vivo, riempendo il suo blog, disegnando in mauritania , con le immagini di vita quotidiana dell' africa occidentale.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
-msisitizo wa snim kuendelea kuwatumia wafanyakazi raia wa mauritania kwa njia ambayo inaleta kumbukumbu za unyonyaji uliokuwa ukifanywa dhidi ya wafanyakazi waafika katika mashamba ya miwa katika miongo iliyopita.
- l'ostinazione nel continuare a sfruttare i lavoratori mauritani da parte della snim, in una maniera che ricorda lo sfruttamento avvenuto in passato dei lavoratori africani nei campi di canna da zucchero di tutta l'africa.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
msanii wa kireno isabel fiadeiro (@isabelfiadeiro) anayeishi katika mji wa nouakchott, mauritania, ambako anachora na kuendesha maonyesho ya kazi ya sanaa.
l'artista portoghese isabel fiadeiro (@isabelfiadeiro) vive a nouakchott, in mauritania, dove dipinge e gestisce una galleria d'arte .
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
wafanyakazi hawa wanadai nyongeza ya mishahara kwa mujibu wa mabadiliko yaliyofanywa hivi karibuni na snim kwa wafanyakazi wake; pia wanadai mafao ya hifadhi ya jamii, pamoja na raia wa mauritania kupewa kipaumbele katika kazi ikilinganishwa na wafanyakazi wageni wanaotoka mataifa jirani.
i lavoratori chiedono di poter beneficiare dell'incremento di paga promesso recentemente dalla snim ai suoi dipendenti; stanno inoltre chiedendo i diritti di previdenza sociale, oltre al diritto di avere la priorità sugli altri lavoratori in quanto cittadini mauritani, rispetto ai lavoratori stranieri provenienti dagli stati confinanti.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
kutoka idadi ya takribani posti 800 zilizoandikwa kwa mwaka katika eneo hilo, tulichagua posti 13 zinazoangazia nchi kama senegali, uganda, msumbiji, guinea-bissau, ghana, ethiopia, nigeria, mauritania, kenya, angola pamoja na nchi nyingine.
su circa 800 post relativi a quest'area pubblicati nel corso dell'anno, ne abbiamo selezionati 13 riguardanti senegal, uganda, mozambico, guinea-bissau, ghana, etiopia, nigeria, mauritania, kenya, angola e altri paesi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: