Şunu aradınız:: wasichana (Svahili - İtalyanca)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

Italian

Bilgi

Swahili

wasichana

Italian

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İtalyanca

Bilgi

Svahili

wasichana hao wawili wamekuwa wasemaji wa tembo nchini hong kong.

İtalyanca

sono diventate così le portavoce di hong kong per gli elefanti.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

au yeye mwenyezi mungu ana wasichana, na nyinyi ndio mna wavulana?

İtalyanca

[allah] avrebbe forse figlie e voi figli?

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

tangu alipoanza kumfuatilia meena, alijijengea moyo wa huruma sana kwa wasichana.

İtalyanca

dopo aver iniziato a guardare meena, sviluppò una certa simpatia per le ragazze in particolare.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wasichana wa ki-afghan wakisoma kitabu cha shule mbele ya duka lililofungwa.

İtalyanca

giovani ragazze afgane leggono un libro di scuola di fronte a un negozio chiuso.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

muandaaji wa katuni 'meena' abadilisha mitizamo ya watu wa asia ya kusini kuhusu wasichana

İtalyanca

bangladesh: il fumetto che ha cambiato l'atteggiamento verso le bambine

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

majumbani, wavulana walipendelewa kwa kupewa vyakula vizuri, wasichana walikuwa wakipewa masalia ya vyakula.

İtalyanca

ai ragazzi veniva dato il cibo migliore che c'era in casa, mentre alle ragazze toccavano gli avanzi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

simulizi za meena zinafurahisha na kuvutia sana, lakini pia, zinaakisi sana hali halisi ya maisha ya wasichana wanaoishi asia ya kusini.

İtalyanca

le storie di meena sono molto piacevoli e divertenti ma allo stesso tempo riflettono la realtà della vita delle ragazze nel sud-est asiatico.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

wasichana wanauawa mithili ya mauaji ya kimbari ya jinsia katika muongo mmoja kuliko watu waliouawa kwenye matukio yote ya mauaji ya kimbari kwenye karne ya ishirini.

İtalyanca

oggi le vittime di femminicidio sono molto più numerose rispetto alle vittime di genocidio di questo secolo.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

hata hivyo, hivi karibuni alirudi nyumbani na kuendeleza harakati za kupambana na mila hiyo ya telefa, alitumaini kuwakinga wasichana na mikasa kama aliyokumbana nayo.

İtalyanca

ma recentemente è tornata per lavorare sul tema della telefa, nella speranza che le ragazze non debbano affrontare una tale prova come è successo a lei.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

maandamano yalifanywa na vijana wadogo wa misri, wasichana kwa wavulana katika mji mdogo wa nasr jijini cairo mnamo tarehe 4 julai kwa lengo la kutuma ujumbe kupinga udhalilishaji wa kijinsia.

İtalyanca

il 4 luglio a nasr city, nel cairo, numerosi giovani cittadini, uomini e donne, si sono riuniti per protestare insieme e lanciare un messaggio contro le molestie.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

inasimulia tukio la mafille na january, wasichana wawili ambao walipewa mfunzo ya kivita. picha hizo za video zinaonyesha madhara yanayotokea katika familia na jamii kwa ujumla kutokana na kuwafunza watoto mambo ya kivita.

İtalyanca

il video racconta la storia di mafille e january, due ragazze reclutate dall'esercito e ha lo scopo di mostrare gli effetti che ha avuto il fenomeno del reclutamento di bambini sulle famiglie e sulla comunità.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

kwa hiyo, nawasilisha kuwa katika masuala ya ndoa kati ya wasichana wa kiislamu walio chini ya umri wa miaka 16, tuziachie mahakama za syariah zifanye kazi yake. wanafahamu ni wakati gani wa kutoa ruksa na wakati gani wa kutotoa ruksa.

İtalyanca

pertanto credo che sulla questione dei matrimoni di ragazze musulmane sotto i 16 anni si debba lasciare che le corti della syariah facciano il loro lavoro, perché sono esse a sapere quando concedere o meno le autorizzazioni richieste.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

ugonjwa huu unawafanya watoto kushindwa kufanya shughuli yoyote ya uzalishaji; wasichana hawawezi hata kushika kisu ili kuandaa chakula, na kwa wavulana, hawawezi hata kushika jembe na kuotesha walau mbegu moja ya mmea.

İtalyanca

questa terribile malattia impedisce ai bambini colpiti di fare qualsiasi cosa, dal tenere in mano un coltello per preparare il cibo a impugnare una zappa per seminare.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Svahili

@declanwalsh: ukichaa kabisa- wasichana wawili na mama yao wameuawa kaskazini mwa pakistan kufuatia kuonekana kwao wakifurahi kwa kucheza kwenye mvua. http://beta.dawn.com/news/1020576

İtalyanca

@zeesh2: delitto d'onore è una denominazione impropria. se avessero onore dovrebbero uccidere loro stessi piuttosto che altri.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,746,731,481 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam