Şunu aradınız:: a site (İngilizce - Svahili)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

a site

Svahili

tovuti

Son Güncelleme: 2024-06-12
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in the aftermath of the january 2010 riots, one blogger started a site, we are jos, to help the victims of the rioting.

Svahili

baada ya machafuko ya tarehe 10 januari, mwanablogu mmoja alianzisha tovuti, sisi ni jos, ili kuwasaidia walioathirika na machafuko.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

the second day of the arab bloggers workshop kicked off with a presentation about herdict web, a site which uses crowdsourcing to gather reports of internet filtering from users around the world.

Svahili

siku ya pili ya warsha ya wanablogu wa kiarabu ilianza na mada inayohusu mtandao wa herdict, tovuti inayotumia vyanzo vya watumiaji kukusanya taarifa za uchujaji wa habari kwenye intaneti kutoka kwa watumiaji duniani kote.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

adichie comments on the pitfalls of a monolithic image of africa as a site of catastrophe; she cautions that limiting ourselves to a “single story” flattens experience and creates stereotypes.

Svahili

adichie anatoa maoni juu ya mitegoya taswira kubwa ya afrika kama sehemu ya majanga; anatahadharisha kuwa kujekea upeo wa “simuli moja” kunasiliba uzoefu na kutengeneza imani potofu.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

on twitter, sanam dolatshahi tweeted the news of a possible death penalty, and a site in persian called kamtarin has also mentioned it, noting that despite previous rumors that derakhshan was being held for "spying" in israel this is apparently not one of the accusations for which the prosecutor seeks his death.

Svahili

kupitia twita, sanam dolatshahi alituma twitakuhusu habari za uwezekano wa kuwepo na adhabu ya kifo, vilevile kuna tovuti moja ya uajemi inayojulikana kama kamtarin ambayo nayo imetaja uwezekano huo, ikizingatiwa kwamba licha ya minong'ono iliyokuwepo hapo kabla kwamba derakshan alikamatwa kwa "ujasusi" nchini israeli , lakini ni wazi kwamba hii si moja kati ya makosa ambayo kwayo mwendesha mashtaka anataka itolewe adhabu ya kifo.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
8,031,706,274 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam