İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
daniel mclaughling reacted to his post arguing that abolishing national monopolies on electrical utilities is the only solution capable of producing results:
daniel mclaughling alijibu makala hiyo akihoji kwamba kumaliza ukiritimba katika huduma ya umeme ndilo haswa suluhisho linaloweza kuleta matokeo yanayoeleweka:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
the protest, which took place on november 26, called for the abolishing of military trials for civilians in the new constitution which egypt is to vote on later this month .
maandamano, ambayo yalifanyika novemba 26, yakitoa wito kwa ajili ya kusitishwa kwa uendeshaji wa mashitaka ya kijeshi kwa raia wa kawaida katika katiba mpya ambayo wananchi wa misri wataipigia kura baadaye mwezi huu .
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
while outgoing labor minister charbel nahhas announced in january 2012 that he would look at abolishing the kafala system, in 2013 labor minister salim jreissati failed to do so or to put forward legislation that would protect the estimated 200,000 migrant domestic workers in the country.
wakati waziri wa kazi aliyemaliza muda wake, charbel nahhas januari 2012 alitangaza kuwa angeangalia uwezekano wa kufutilia mbali mfumo wa kafala,mwaka 2013, waziri wa kazi, salim jreissati alishindwa kufanya hivyo au kuweka sheria ambayo ingewalinda zaidi ya wafanyakazi wa ndani wanaokadiriwa kufikia 200,000 nchini humo.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: