İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
diarrhea and pneumonia together account for almost 3.5 million child deaths annually.
kuendesha na nimonia kwa pamoja huchangia karibu vifo vya watoto milioni 3.5 kila mwaka.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
4000 children in northern #uganda are defiled annually, i bet #kibuule thinks its because they were provocative!
watoto 4000 kaskazini mwa uganda wananajisiwa kila mwaka. nina hakika kibuule anadhani ni kwa sababu watoto hao walivaa vibaya!
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
according to media reports, under the terms of the agreement as outlined in the leaked document, the government stands to lose us$1 billion annually.
kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, kwa kuzingatia makubaliano yaliyofikiwa kwenye taarifa hiyo iliyovuja, seriakali inaonekana kupoteza kaisi cha dola kimarekani bilioni 1 kwa mwaka.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
this chart from the inter-american development bank, based on a 2006 study, claims that haitians living in the united states sent nearly $1.9 billion home annually.
jedwali hili kutoka benki ya maendeleo ya mataifa ya marekani, ambalo linatoka kwenye utafiti wa mwaka 2006, linadai kuwa wahaiti wanaoishi marekani walituma karibu ya dola bilioni 1.9 za kimarekani kiola mwaka kwenda nyumbani.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
according to a july 19 article in the citizen, the tpcd confirmed its position in a press conference on july 16: "outgoing tpdc managing director yona killagane strongly refuted the claims that the country would incur a loss of $1 billion annually if the pact is fully implemented as agreed.
kwa mujibu wa makala ya julai 19 katika gazeti la the citizen, tpdc ilitoa msimamo wake katika mkutano na waandishi wa habari mnamo julai 16: "mkurugenzi aliyeko madarakani wa tpdc, yona killagane alipinga vikali kabisa kuwa nchi itapoteza dola bilioni 1 za kimarekani kila mwaka iwapo mkataba huu utatumika kama makubaliano yalivyofikiwa.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor