Şunu aradınız:: as soon (İngilizce - Svahili)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

English

Swahili

Bilgi

English

as soon

Swahili

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

the girl needed an operation as soon as possible.

Svahili

msichana huyu alihitaji upasuaji wa haraka.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

you must give it them as soon as possible, faster than anyone.

Svahili

zitoe mapema kadri inavyowezekana, mapema kabla hazijaonekana kwingineko.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

as soon as the video was uploaded to youtube, it went viral.

Svahili

mara tu baada ya video hiyo kuwekwa katika mtandao wa youtube, ilishambuliwa na virusi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

we'll reach out to you regarding your inquiry as soon as we can

Svahili

tutaonana hivi karibuni

Son Güncelleme: 2023-09-09
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

the multiple laws that i will be breaking as soon as the president signs this law.

Svahili

nitakuwa nikiwaleteeni sheria kadhaa mara tu rais atakapoitia saini sheria hii.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

as soon as the polls opened, netizens began to share their thoughts and experiences.

Svahili

punde tu kura zilipoanza kupigwa, watumiaji wa mtandao wa intaneti walianza kutoa mawazo na uzoefu wao.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

and as soon as he had spoken, immediately the leprosy departed from him, and he was cleansed.

Svahili

mara ukoma ukamwacha mtu huyo, akatakasika.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

as soon as journalists began reaching hospitals to report on the situation, more mismanagement came to surface.

Svahili

mara baada ya waandishi wa habari kuanza kutembea mahospitalini kwa ajili ya kutoa taarifa za tukio hili, matumizi mabaya ya madaraka yaliendelea kujitokeza.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

as soon as they leave you, they quickly commit evil in the land, destroying the farms and people.

Svahili

na anapo tawala hufanya juhudi katika nchi kwa kufisidi humo na kuteketeza mimea na viumbe.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

thank you for your message. we're unavailable right now, but will respond as soon as possible.

Svahili

shukrani kwa ajili ya kuwasiliana edo_magari_bei_raisi_mwanza! tafadhali tujulishe jinsi tunaweza kukusaidia.

Son Güncelleme: 2024-02-26
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

as soon then as they were come to land, they saw a fire of coals there, and fish laid thereon, and bread.

Svahili

walipofika nchi kavu waliona moto wa makaa umewashwa na juu yake pamewekwa samaki na mkate.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

and as soon as his lord unveiled his glory to the mount, he crushed it into fine dust, and moses fell down in a swoon.

Svahili

basi alipo jionyesha mola mlezi wake kwa mlima, aliufanya uvurugike, na musa akaanguka chini amezimia.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

but as soon as they beheld the orchard, (they cried out): “we have certainly lost the way;

Svahili

basi walipo liona, wakasema: hakika tumepotea!

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

global voices will monitor this interesting commercial/advertising case and publish the results of the survey, too, as soon as they appear.

Svahili

global voices itafuatilia kisa cha tangazo hili la biashara la namna yake na kuchapisha matokeo ya utafiti mara yatakapotolewa.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

but as ghanaians grow richer - our goal is to become a middle income country as soon as possible - more ghanaians can also afford their own cars.

Svahili

lakini kwa kadri waghana wanavyokuwa matajiri –lengo letu likiwa kuwa nchi ya kipato cha kati mapema iwezekanavyo –waghana wengi wanaweza pia kumudu kuwa na magari yao wenyewe.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

if they had taken these structures down as soon as they went up, there wouldn’t be this kind of destruction of people’s livelihood now.

Svahili

kama wangebomoa majengo yale pale tu yalipotojitokeza, pasingekuwa na uharibifu wa njia za kuishi za watu.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

but as soon as we relieve him from his affliction, he continues (in the same way), as though he never supplicated to us when harm touched him.

Svahili

lakini tukimwondoshea shida yake huendelea kama kwamba hakupata kutuomba tumwondoshee shida iliyo mpata.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

i am not that good at writing, any comment or idea or any suggestions for a solidarity gesture by anyone of you can be of help, so drop a line in the comment my friends , we have to take action as soon as possible.

Svahili

mimi si hodari katika kuandika, kama kuna yeyote mwenye maoni au wazo au pendekezo la kuonyesha ishara ya mshikamano wetu, tafadhali saidia, andika hata mstari mmoja kwa marafiki, hatuna budi kuchukua hatua haraka iwezekanavyo.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

... as soon as i was arrested in my apartment by security forces, i was tortured, beaten and threatened to be executed... i am one of the victims of the islamic regime's repression.

Svahili

... mara tu nilipowekwa chini ya ulinzi nyumbani kwangu na vyombo vya usalama, niliteswa, nilipigwa na kutishiwa kifo...mimi ni mhanga wa unyanyasaji wa utawala huu wa kiislamu.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

thereupon two god-fearing men whom god had blessed said, "go into them through the gate -- for as soon as you enter, you shall surely be victorious!

Svahili

watu wawili miongoni mwa wachamngu ambao mwenyezi mungu amewaneemesha, walisema: waingilieni kwa mlangoni. mtakapo waingilia basi kwa yakini nyinyi mtashinda.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.

Daha iyi çeviri için
7,791,196,637 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam