Şunu aradınız:: beheading (İngilizce - Svahili)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

English

Swahili

Bilgi

English

beheading

Swahili

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

instead of sharing the isis beheading video, they are calling for remembering sotloff in better times.

Svahili

badala ya kusambaza video ya isis ya mauaji ya kumkata mtu kichwa, watu wanawataka watu waomboleze kifo cha sotloff kwa kumkumbuka kwa mazuri aliyoyafanya wakati wa uhai wake.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

a day before, jordanians stood in solidarity with japan after isis purportedly released a video beheading journalist kenji goto.

Svahili

siku moja kabla, watu wa jordan walionesha mshikamano wao na japan kufuatia isis kushukiwa kutoa video iliyokuwa inaonesha kuchinjwa hadi kufa kwa mwandishi wa habari kenji goto.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

the islamic state in iraq and syria has shared a second gruesome video which allegedly shows the beheading of american journalist steven sotloff.

Svahili

dola ya kiislam ya nchini iraq na syria imeweka tena hadharani video nyingine ya mauaji ya kutisha inayoonesha kukatwa kichwa kwa mtu anayedhaniwa kuwa ni mwandishi wa habari wa marekani, steven sotloff.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

she's worried about news like the recent beheading of a group of men in libya at the hands of isis, and she hopes that educating libyan children will help stop the spread of radicalization.

Svahili

anaogopeshwa na habari kama hii ya hivi karibuni ya kuchinjwa kwa watu kadhaa nchini libya na kundi la isis, na anaamini kuwa kwa kuwaelimisha watoto wa libya kutasaidia kukomesha kuenea kwa ukatili huu.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

#isis says in steven sotloff beheading that nations should stay away from any alliance with the us — zaid benjamin (@zaidbenjamin) september 2, 2014

Svahili

#isis yatoa onyo kupitia video ya kukatwa kichwa kwa steven sotloff kuwa, mataifa mengine kamwe yasiiunge mkono marekani. — zaid benjamin (@zaidbenjamin) septemba 2, 2014

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

the three-minute video allegedly shows the beheading of steven sotloff, whose work in hotspots across the middle east has taken him to bahrain, syria, egypt, libya and turkey.

Svahili

video hii ya dakika tatu inadaiwa kuonesha kukatwa kichwa kwa steven sotloff, ambaye amekuwa akifanya kazi sehemu hatari katika maeneo mbalimbali ya mashariki ya kati kama vile bahrain, syria, egypt, libya na uturuki.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

the beheadings of the men, who were reportedly members of a gang, bring saudi arabia's total number of executions this year to 47.

Svahili

kunyongwa kwa watu hao, waliosemekana kuwa sehemu ya genge la majambazi, limefanya idadi ya watu walionyongwa nchini humu mwaka huu kufikia 47.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,743,989,777 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam