İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
marking here
akumaka muno
Son Güncelleme: 2020-08-20
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
marking scheme
mpango wa kuashiria
Son Güncelleme: 2019-10-16
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
washed it down with tea and fell asleep on the train station bench right after that.
baada ya kula nyama hiyo na kuishusha na chai ile iliyopoa, analala usingizi kwenye benchi la kukalia lililo pale kwenye kile kituo cha treni.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
he reportedly tried to hit teira with a bench when the group rejected his calls to leave the hostel.
inasemekana kuwa alijaribu kumpiga teira kwa benchi wakati kundi hilo lilipokataa amri yake ya kuondoka hapo kwenye hosteli.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
street corners sprout flagpoles carrying the teams' logos, marking a neighbourhood's affiliation.
kila kona za mitaa utaona bendera zikiwa na nembo za timu husika, ilimradi tu kuwachanganya wapizani.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
your eyes weren't fooling you", jamaican long bench thought the theatrics were a bit too much:
macho yako hayakukudanganya". mjamaika long bench alidhani majigambo yalizidi kidogo:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
during the gathering the “stop police brutality” movement will hold a press conference to present activities marking its second anniversary.
wakati wa kusanyiko hilo vuguvugu la "kuzuia ukatili wa polisi" litafanya mkutano na waandishi kuwasilisha ratiba ya shughuli za maadhimisho yake ya pili.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
and in marking the probable end of the political career of the 77 year-old leader of the malawi congress party (mcp), john tembo, these elections also ended the era of the nationalist generation that has ruled malawi since 1964, a point also made by paul tiyambe zeleza.
na pia kuhusu uwezekano wa mwisho wa shughuli za kisiasa kwa kiongozi wa chama cha malawi congress party (mcp) mwenye umri wa miaka 77, bwana john tembo, uchaguzi huu pia ulihitimisha zama za viongozi wa kiuzalendo ambao wametawala malawi kuanzia mwaka 1964, jambo ambalo paul tiyambe zeleza pia ameling’amua.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans: