İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
bombing of gaza city by israeli fighter jets.
mji wa gaza ukipigwa mabomu na madege ya kijeshi ya israel.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
another user said the news of the bombing is fake:
another user said the news of the bombing is fake:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
remember 1998 jakarta riots or 2003 marriott hotel bombing?
unakumbuka machafuko ya jakarta ya mwaka 1998 au shambulio la hoteli ya marriot la mwaka 2003?
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
many civilians died in the bombing of areas at the edges of gaza city.
raia wengi walifariki kwenye mashambulizi ya mabomu katika maeneo ya ukingoni mwa mji wa gaza.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
on twitter, ali reported narrowly escaping the first bombing in quetta:
katika ukurasa wa twita, ali alitaarifu kuwa, aliponea chupuchupu kwenye tukio la mlipuko mabomu wa kwanza huko quetta:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
40 people have now died after israel’s bombing of a un school in gaza.
watu 40 wamefariki baada ya israeli kutupa makombora kwenye shule ya umoja wa mataifa huko gaza.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
he adds that military school students are currently being held hostages by another attacker following the bombing.
anaongeza kuwa wanafunzi wa chuo cha kijeshi wametekwa na gaidi mwingine kufuatia mabomu hayo.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
also on wednesday, eight soldiers were killed in a roadside bombing in siirt, a southeastern turkish region bordering syria and iraq.
pia, siku ya jumatano, wanajeshi watano waliuawa kufuatia mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa pembezoni mwa barabara huko siirt, eneo la kusini mwa uturuki linalopakana na nchi za siria na iraki.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
benjamin roger for jeune afrique reports that 18 soldiers, one civilian and four terrorists were killed early morning in an suicide car bombing in agadez, niger on may 23.
benjamin roger wa jeune afrique anaripoti kuwa wanajeshi 18, raia mmoja na magaidi wanne waliuawa mapema subuhi ya leo katika shambulio la mabomu ya kujitoa muhanga kwenye gari mjini agadez, niger tarehe 23 mei.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
syria - aleppo - 09/23/2012 - destruction as a result of jet raid bombing and heavy shelling.
syria - aleppo - 09/23/2012 – uharibifu uliotokana na kutupwa kwa bomu la kushtukizwa pamoja na kombora zito.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
syria - homs - 10/19/2012 - destruction as a result of the bombing of al assad forces- photo by mohammed ibrahim - shaam news network _bar_ snn reporter (39).
syria - homs - 10/19/2012 -uharibifu uliotokana na majeshi ya al assad kutupa mabomu – picha na mohammed ibrahim – mtandao wa habari wa shaam _bar_ muwasilisha habari (39) snn .
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 3
Kalite: