Şunu aradınız:: camera (İngilizce - Svahili)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

English

Swahili

Bilgi

English

camera

Swahili

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

cctv camera

Svahili

kamera ya cctv

Son Güncelleme: 2021-12-18
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

flashi camera

Svahili

kwanini upo ivyoo

Son Güncelleme: 2021-09-20
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

my phone is a bad camera

Svahili

simu yangu aiwezi onyesha kamera

Son Güncelleme: 2021-06-18
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

my phone camera evil infinix hot 9 play

Svahili

simu yangu camera mbovu infinix hot 9 play

Son Güncelleme: 2023-03-03
Kullanım Sıklığı: 2
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

an afghan child seems ready to be on camera.

Svahili

mtoto wa ki-afghan akionekana tayari kutumia kamera.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

president michael sata's son (holding a camera).

Svahili

mtoto wa kiume wa rais michael sata (aliyebeba kamera).

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

she travels around syria with a camera, chronicling the revolution on film.

Svahili

anasafiri maeneo mengi ya syria na kamera yake akikusanya matukio ya mapinduzi ya syria katika filamu.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

his team used a dji phantom drone and a gopro camera to capture the mesmerizing beauty of cambodia.

Svahili

timu yake ilitumia ndege aina ya dji phantom na kamera ya gopro kupata picha za uzuri halisi wa cambodia.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

a smack on my face, a bruise, and a stolen camera won't stop me from reporting.

Svahili

kofi nililopigwa usoni, alama iliyobaki usoni mwangu pamoja na kuibwa kwa kamera yangu hakutanizuia kuendelea kutoa habari.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

lucky for me, there's still battery power remained on my digital camera to take a few snapshots.

Svahili

bahati yangu nilikuwa bado nina mawe kwenye kamera yangu ya kidijitali nikaweza kupiga picha kadhaa.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

"most chose to smile warmly for the camera and that is what the patients see in this head shot photograph.”

Svahili

"wengi waliamua kutabasamu nikiwapiga picha na hicho ndicho wagonjwa wao wanachokiona kwenye picha zao kubwa wanazozibadika kwenye mavazi yao.”

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

lebanese blogger habib battah narrates how he was held against his consent, forced to delete photographs of ruins from his phone camera and repeatedly assaulted in this post on the beirut report.

Svahili

mwanablogu wa ki-lebanoni habib battah anaeleza namna alivyoshikiliwa bila hiari, akilazimishwa kufuta picha katika kamera ya simu yake na kudhalilishwa mfululizo katika posti hii inayohusiana na ripoti ya beirut.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

i refused to delete the footage and didn't turn over my camera, and after that one of the police officers violently took it and started deleting it by himself.

Svahili

nilikataa kufuta nilivyokuwa nimevirekodi na sikuwapa kamera yangu, na baada ya hapo mmoja wa maafisa wa polisi aliichukua kwa nguvu na akaanza kufuta kwa mikono yake mwenyewe.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

our technology offers a means of achieving transparency on both sides of the camera, and we fully intend to support those who are leading movements for positive change,” he says.

Svahili

teknolojia yetu inatoa namna ya kuufikia uwazi kwa pende zote za kamera, na tunatarajia kuunga mkono kwa dhati wale wanaoongoza harakati za kuleta mabadiliko chanya,” anasema.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

his energy should be guided to something productive and as much as possible try not to expose him to such situations and if so do it off camera for goodness sake. so far, i think prevention is better than cure!

Svahili

nguvu anazoonekana kuwa nazo lazima zielekezwe kwenye mambo yanayoweza kuleta faida na kwa kadri inavyowezekana jaribuni kutokumweka kwenye mazingira kama hayo na kama inalazimu basi fanyeni hivyo mbali na kamera kumsaidia mpaka sasa, nadhani kinga ni bora kuliko tiba!

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

the video must have taken a lot of preparation, since the authors say it was shot in real time, in one take, using only one camera, and did not involve any post-editing.

Svahili

pasi na shaka video hii itakuwa iliwachukua muda mwingi kuiandaa, kwani watayarishaji walisema kuwa video hii ilirekodiwa katika muda ule ule na kwa wakati mmoja, kwa kutumia kamera moja na haikuhusisha marekebisho mengine mara baada ya kurekodiwa.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

it starts with a shot of a computer in a room, and as the earth moves the rumble of the earth can be heard, then the lights go out and we are left in the dark, hearing only the voices of a woman and a man we assume to be the one holding the camera trying to calm her down.

Svahili

inaanza kwa picha ya kompyuta kwenye chumba, na wakati ardhi ilivyokuwa ikisogea mingurumo ya ardhi inaweza kusikika, halafu taa zilizimikana tunaachwa kwenye giza, na kusikia sauti pekee ya mwanamke na mwanaume ambaye tunadhani ndio aliyekuwa amebeba kamera akijaribu kumtuliza.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

from the , we mobile phones equipped with video cameras to each of our agents, and the inmates were sending us glimpses into their lives, little by little, 10 to 15 seconds at a time, for six months.

Svahili

kutoka , simu zenye uwezo wa kuchukua picha za video ili ziwafikie wapelelezi wetu, na mahabusu hao walitupatia vidokezo (kwa njia ya video) vya maisha yao, na polepole, kila video ikiwa na urefu wa sekunde 10 hadi 15, kwa kipindi cha miezi sita.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Daha iyi çeviri için
7,787,331,530 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam