Şunu aradınız:: crowded (İngilizce - Svahili)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

English

Swahili

Bilgi

English

crowded

Swahili

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

avoid crowded places whenever possible.

Svahili

epuka maeneo yenye watu wengi ikiwezekana.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

markets are crowded, cafés are bustling.

Svahili

watu wamejazana masokoni, pilikapilika katika migahawa imepamba moto.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

when the servant of allah rose to pray to him, they almost crowded around him.

Svahili

na hakika mja wa mwenyezi mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga!

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

hong kong recommends wearing a surgical mask when taking public transport or staying in crowded places.

Svahili

hong kong inapendekeza kuvaa kwa barakoa ya kimatibabu unapotumia usafiri wa umma au kukaa sehemu ambapo kuna watu wengi.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

we will save the pious ones from the hell fire and leave the unjust people therein in crowded groups.

Svahili

kisha tutawaokoa wale walio mchamngu; na tutawaacha madhaalimu humo wamepiga magoti.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

and when the slave of allah stood up in prayer to him, they crowded on him, almost stifling.

Svahili

na hakika mja wa mwenyezi mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga!

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

i dont like flying, over crowded places, standing in lines and most bugs.i stumble in stilettos.

Svahili

sipendi kuruka angani , sehemu zenye watu wengi, kupanga foleni, kadhalika sipendi wadudu.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

and that when the servant of allah stood up calling upon him, they wellnigh crowded him (to death).

Svahili

na hakika mja wa mwenyezi mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga!

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

when the devotee of god stood up to invoke him (the jinns) crowded upon him (to listen).

Svahili

na hakika mja wa mwenyezi mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga!

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

six garment manufacturers were operating from the third to the eight floor of the structure in savar and at least five thousand people were inside the crowded building when it caved in on the morning of april 24, 2013.

Svahili

watengenezaji sita wa nguo walikuwa wakiendelea na kazi katika ghorofa ya tatu hadi ya nane ya jengo hilo huko savar na watu wasiopungua elfu tano walikuwa ndani ya jengo lililokuwa na msongamano mkubwa wa watu wakati lilipoanguka asubuhi ya tarehe 24, aprili 2013.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

avoid crowded areas, especially enclosed areas without much air circulation, such as conferences, performances, shopping malls, public transportation, and religious services.

Svahili

epuka maeneo yenye watu wengi, hasa maeneo yaliyofungwa bila hewa ya kutosha, kama vile mikutano, maonyesho, duka kuu za ununuzi, usafiri wa umma, na ibada za kidini.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

individuals may apply social distancing methods by staying at home, limiting travel, avoiding crowded areas, using no-contact greetings, and physically distancing themselves from others.

Svahili

watu wanaweza kufuata mbinu za kukaa mbali na jamii kwa kukaa nyumbani, kupunguza safari, kutoenda sehemu yenye watu wengi, kusalimiana bila kugusana, na kudumisha umbali na watu wengine.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

preventive measures to reduce the chances of infection include staying at home, avoiding crowded places, washing hands with soap and water often and for at least 20 seconds, practising good respiratory hygiene and avoiding touching the eyes, nose or mouth with unwashed hands.

Svahili

hatua za kinga za kupunguza uwezekano wa kuambukizwa zinajumuisha kukaa nyumbani, kuepuka maeneo yenye watu wengi, kuosha mikono kwa kutumia sabuni na maji mara kwa mara kwa angalau sekunde 20, kujizoeza kuwa na adabu nzuri ya kukohoa na kuepuka kugusa macho, pua au mdomo na mikono ambayo haijaoshwa.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

- it is normal to be attacked in such crowded markets, the policemen played down the whole drama, wondering y i was feeling bad (at all), yes there is no service to take care of trauma victims in the police station since it is “normal” to be victimised like that...

Svahili

-ni kawaida kushambuliwa kwenye masoko kama haya yenye msongamano wa watu, polisi hawakuutilia maanani mchezo mzima, wakishangaa kwa nini nilikuwa najisikia vibaya, ndio hakuna huduma za kuhudumia waliotharika katika vituo vya polisi kwa sababu ni ‘kawaida’ kuathirika kwa namna hiyo... haggle

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,792,466,381 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam