Şunu aradınız:: currency: (İngilizce - Svahili)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

currency

Svahili

sarafu

Son Güncelleme: 2014-10-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Wikipedia

İngilizce

are you familiar with crypto currency ?

Svahili

sijui ungenifafanulia

Son Güncelleme: 2023-03-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

more hawkish than expected is good for currency

Svahili

zaidi ya hawkish kuliko ilivyotarajiwa ni nzuri kwa sarafu

Son Güncelleme: 2023-10-16
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

economic change of currency in the world market

Svahili

economic market

Son Güncelleme: 2023-03-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

one contributor, kgb, on lusaka times suggested that zambia should change its currency:

Svahili

mchangiaji mmoja, kgb, aliyetoa maoni yake katika jarida la lusaka times alipendekeza kwamba zambia ibadili sarafu yake:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

please president sata change the currency now so that they can get stuck with their billlions of fake kwacha.

Svahili

tafadhali rais sata badilisha noti sasa ili (waliofukua fedha ardhini) wakose pa kuyapeleka hayo mabilioni ya kwacha bandia.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

a cryptocurrency crypto currency or crypto is a digital currency designed to work as a medium of exchange thought a company network

Svahili

sarafu ya crypto ya cryptocurrency au crypto ni sarafu ya dijiti iliyoundwa kufanya kazi kama kati ya kubadilishana mawazo mtandao wa kampuni

Son Güncelleme: 2023-02-17
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

in the most unlikely event that this was true, an intelligent president would have quietly instructed boz to mop out the fake currency.

Svahili

katika tukio lisilo na uwezekano wa kutokea kwamba basi hili tulilosikia ni ukweli, rais mwenye akili angeliiagiza benki kuu kimya kimya kuziondoa noti hizo bandia.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

when the website tumfweko first broke the news last october about the zambian central bank using alternative currency printers other than the traditional supplier de larue, it took a long time for the central bank to own up to the new arrangement.

Svahili

wavuti ya tumfweko ilipotangaza habari hizi kwa mara ya kwanza mwezi oktoba kuhusiana na benki kuu ya zambia kuamua kutumia mashine mbadala za kuchapisha noti mbali na mzabuni aliyezoeleka de larue, ilichukua muda mrefu kwa benki kuu kukiri kufanya hivyo.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

public sector workers had asked for a 65 percent wage increase to combat a rising cost of living sparked by president joyce banda's tough economic reforms, including a devaluation of the local kwacha currency.

Svahili

wafanyakati wa sekta ya umma waliomba ongezeko la mishahara kwa asilimia 65 ili kukabiliana na kupanda kwa gharama za maisha zilizotokana na hatua za kurekebisha hali ya uchumizilizochukuliwa na rais joyce banda, ikiwa ni pamoja na kuishusha thamani ya kwacha (sarafu ya nchini malawi).

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

all those denying what my presdo revealed are simply showing their hate on the fact that pf won & they are disgruntled (most likely these are from a party that will never rule zambia (upnd).well for your own information the boat has crossed the sea this time and you have remained with your powerless magical hand shake(hajanza).learn to live with this fact that sata`s name is in books and even god had a hand in his appointment.it is evident that money was printed and if you are that clever check the currencies and you will see different printer you disgruntled minority!

Svahili

wale wote wanaopinga kile kinachofanywa na rais wangu wanajifunua jinsi wanavyoonesha chuki binafsi kufuatia ukweli kwamba chama cha pf kilishinda na wamebaki na ghadhabu (wengi wao ni wale wanaotoka chama ambacho hakitakaa kiitawale zambia tena (upnd). kwa taarifa yenu meli ilishavuka bahari wakati huu na mmebaki na kushikana mikono kusiko na nguvu (hajanza).

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Daha iyi çeviri için
7,720,556,497 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam