İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
analysts are also alarmed that this decision to seek another term could destabilize the great lakes region by leaving no option open to the rwandan opposition other than to take up arms.
wachambuzi pia wana wasiwasi kuwa uamuzi huu wa kutafuta awamu nyingine unaweza kuhatarisha usalama katika ukanda wa maziwa makuu kwa kuwalazimu wapinzani wa rwanda kutokuwa na namna nyingine zaidi ya kubeba silaha.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
the author of the article, who remained anonymous, concluded that the entire story is provocation prepared by muhammad salih to destabilize uzbek society and gain international attention.
mwandishi wa makala hiyo ambaye hakujifahamisha, alihitimisha kuwa habari hii yote ni uchochezi ulioandaliwa na muhammad salih ili kutikisa jamii ya uzbek na kutafuta kujulikana kimataifa.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
many nigerians called for vice-president goodluck jonathan to step into yar'adua's shoes, but the situation was complex: as a southerner, jonathan's assumption of the presidency would threaten to destabilize the delicate power-sharing arrangement between northern and southern nigeria.
wanaijeria wengi walitoa wito kwa makamu wa rais goodluck jonathan kuvaa viatu vya yar’adua, lakini hali ilikuwa tata: kama mtu anayetoka kusini, kukaimu madaraka ya urais kwa jonathan kungehatarisha kudhoofishwa kwa mpango wa kuachiana madaraka kati ya maeneo ya kaskazini na kusini mwa naijera.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: