Şunu aradınız:: difference between magma vent and conduit (İngilizce - Svahili)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

English

Swahili

Bilgi

English

difference between magma vent and conduit

Swahili

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

difference between firm and firm

Svahili

tofauti kati ya dhabiti na thabiti

Son Güncelleme: 2022-09-27
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

and put no difference between us and them, purifying their hearts by faith.

Svahili

hakufanya ubaguzi wowote kati yetu na wao; aliitakasa mioyo yao kwa imani.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

may l ask,the difference between these two ways of writing time

Svahili

naomba kuuliza

Son Güncelleme: 2022-08-26
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

is there a difference between mothers serving terms in correctional facilities and those outside?

Svahili

je, kuna tofauti kati ya wanawake wanaotumikia kifungo kwenye magereza (ya mafunzo) na wale wanaoishi nje?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

for there is no difference between the jew and the greek: for the same lord over all is rich unto all that call upon him.

Svahili

jambo hili ni kwa wote, kwani hakuna tofauti kati ya wayahudi na wasio wayahudi; bwana wa wote ni mmoja, naye ni mkarimu sana kwao wote wamwombao.

Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

there is a big difference between an annoying swarm of bees buzzing around your head a samba dance.

Svahili

kuna tofauti kubwa kati ya kelele inayoudhi ya nyuki wanaozunguka juu ya kichwa chako na ile ya dansi ya samba.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

there is a difference between a holiday and a retreat, i was looking at the dictionary this morning and i said, ‘do these people know?’

Svahili

kuna tofauti kati ya likizo na mapumziko, nilikuwa nachungulia kamusi yangu asubuhi hii na ninajiuliza, 'hawa watu wanajua tofauti hii?'

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

eight years ago, i voted for ralph nader because i thought there really wasn’t much of a difference between democrats and republicans on the major issues.

Svahili

miaka minane iliyopita, nilimpigia kura ralph nader kwa sababu nilifikiri kuwa hapakuwa na tofauti kubwa kati ya vyama vya democrat an republicanm kwenye masuala muhimu.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

are there any sharp differences between what tehran-based bloggers write and provincial ones?

Svahili

je kuna tofauti kati ya bloga aliye mikoani na yule aliye teherani?

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

a 30% difference between sars-cov-2 and sars-cov in the s1 unit of the s protein implicates that the binding affinity of its s protein with human ace2 might have altered.

Svahili

tofauti ya 30% kati ya sars-cov-2 na sars-cov kwenye kitengo cha s1 cha protini ya s huashiria kwamba uwezo wa protini ya s kuunganishwa na ace2 ya binadamu huenda umebadilisha.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

however, there are some remarkable differences between covid-19 and sars, which are essential for containing the epidemic and treating the patients.

Svahili

hata hivyo, kuna baadhi ya tofauti za kimsingi kati ya covid-19 na sars, ambazo ni muhimu katika kudhibiti janga hili na kutibu wagonjwa.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

whenever their learned men are summoned to the book of allah to judge the differences between them, a party of them turns away in aversion.

Svahili

wanaitwa kukiendea kitabu cha mwenyezi mungu ili kiwahukumu baina yao; kisha baadhi yao wanageuka wanakikataa.

Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

there's no difference between al-shabaab, boko haram and the people responsible for burning those children alive. #xenophobicsa — president vusani (@vusani_) april 11, 2015

Svahili

hakuna tofauti kati ya al-shabaab, boko haram na watu waliowachoma moto watoto wakiwa hai. #xenophobicsa — president vusani (@vusani_) april 11, 2015

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

desertification might sound similar to desert, but there is a fundamental difference between the two: while deserts are one of nature’s wonderful formations, desertification is a process of degradation that lands go through after they are affected by climate change, human activities, and natural forces until they eventually become deserts.

Svahili

pengine maneno ueneaji jangwa yanaweza kusikika sawa na jangwa, lakini kuna tofauti kubwa ya msingi kati ya maneno hayo: wakati ambapo majangwa ni moja kati ya maumbo mazuri ya kipekee ya asili, ueneaji jangwa ni mchakato wa kuharibika ambako kanda za ardhi hupitia baada ya kuathiriwa vibaya na mabadiliko ya hali ya hewa, shughuli za binadamu na majanga ya asili mpaka hatimaye zinageuka na kuwa majangwa.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

because my first reason says there is a big difference between the parents of paying schools and government schools the parents of paying schools are careful to monitor their children's education and care more and monitor their children's results more aggressively because in that school he pays a heavy price but for government schools some parents don't care about school because they don't pay any expenses they are not bitter about anything. child development

Svahili

kwasababu sababu yangu ya kwanza inasema kuna utofauti mkubwa kati ya wazazi wa shule za kulipa na shule za serikali wazazi wa shule za kulipa wanakua makini kufatilia masomo ya watoto wao na kujali zaidi na kufuatilia matokeo ya watoto wao kwa ukaeibu zaidi kwasababu katika hiyo shule analipa gharama kubwa lakini kwa shule za serikali baadhi ya wazazi hawajali chochote kuhusiana na masomo kwasababu hawalipii gharama yeyotekwaiyo hawana uchungu na kitu chochote kuhusiana na maendeleo ya watoto w

Son Güncelleme: 2023-01-15
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Daha iyi çeviri için
7,793,775,251 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam