İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
you cant stand dissent, how will you grow?#ugandaat50
huwezi kusimama mwenyewe, utakuaje? #ugandaat50
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
the war and carnage has at last stopped and the insistent bloodletting of tamil dissent is now over.
vita na ukatili hatimaye vimesitishwa na kumwagika kwa damu za watamil kumefikia mwisho.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
if this is from god and you deny it, who will be in greater error than he who is in open dissent?"
ikiwa haya yanatoka kwa mwenyezi mungu, nanyi ikawa ndio mmeyakataa, ni nani aliye potea zaidi kuliko aliye katika upinzani wa mbali?
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
the militarisation of state and society has been able to suppress dissent in the south, even mounting attacks on journalists.
kushamiri kwa uongozi wa kijeshi kitaifa na kwenye jamii kumefanikisha ukandamizwaji wa maoni mbadala kusini mwa nchi, na kumewezesha mashambulizi dhidi ya wanahabari.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
had it been invaded from its sides, and they were asked to dissent, they would have done so with little hesitation.
na lau kuwa wangeli ingiliwa kwa pande zote, kisha wakatakiwa kufanya khiana, wangeli fanya, na wasingeli sita ila kidogo tu.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
so let those beware who dissent from the prophet's order, lest fitnah strike them or a painful punishment.
basi nawatahadhari wanao khalifu amri yake, usije ukawapata msiba au ikawapata adhabu chungu.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
arab governments are keen in limiting their loss to those three dictators by conducting a massive crackdown on political dissent and an unprecedented killing spree against their revolting people.
serikali za ki-arabu zimekuwa na jitihada ya kuhakikisha idadi ya madikteta waliong’olewa haizidi hao watatu, kwa kufanya ukandamizaji mkubwa dhidi ya upinzani wa kisiasa na vile vile kuendesha vitendo vya mauaji yasiyokubalika ya watu wao wenyewe wanaoonekana 'kuwaasi'.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
the gesture has become so popular that the country's military junta actually banned it, along with several other forms of political dissent.
alama hiyo imekuwa maarufu sana kiasi kwamba jeshi la nchi hiyo limeipiga marufuku, ikiwa ni pamoja na upinzani mwingineo wa kisiasa.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
it seems, however, that the turkish government's plan to censor dissent has backfired, as tweets coming out from turkey are on the rise.
inaonekana, hata hivyo, kuwa mpango wa serikali hiyo wa kudhibiti raia wa nchi hiyo kuwasiliana unakumbana na mipango kinzani, kwa kuwa twiti zinazotoka nchini uturuki ndio kwanza zimeongezeka.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
on 12 march, the human rights watch urged the iranian prison authorities to unconditionally release the human rights defenders detained for peaceful dissent, and to also temporarily release all the eligible prisoners.
mnamo 12 machi, shirika la haki za kibinadamu ilihimiza mamlaka ya jela ya irani kuwaachilia bila masharti wanaotetea haki za kibinadamu waliokamatwa kwa upinzani wa amani, na pia kuachilia kwa muda wafungwa wote wanaostahili.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
the religion before allah is islam (submission to his will): nor did the people of the book dissent therefrom except through envy of each other, after knowledge had come to them.
bila ya shaka dini mbele ya mwenyezi mungu ni uislamu. na walio pewa kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
later he changed tacks and wrote favorably of president mahmoud ahmedinajhad's policies regarding the united states, nuclear weapons, israel, and even intolerance for public dissent from human rights activists.
baadaye alibadili mbinu na kuandika habari zinazosifu sera za rais mahmoud ahmedinejad hususan kwa msimamo wake dhidi ya serikali ya marekani, silaha za nyuklia, israeli, na hata kutovumilia upinzani wa umma unaofanywa na wanaharakati wa haki za binadamu.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
after 26 years of fighting, after displacing and killing hundreds of thousands, after silencing those who dissent against both the government and the ltte through assassinations, torture and disappearance, what now of the tamil people?
baada ya miaka 26 ya mapambano, baada ya kuua mamia ya maelfu, baada ya kuwanyamazisha wale walioipinga serikali na waasi wa ltte kwa kuwaua, mateso na watu kupotea, sasa itakuwaje kwa watu wa tamil?
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
"and o my people! let not my dissent (from you) cause you to sin, lest ye suffer a fate similar to that of the people of noah or of hud or of salih, nor are the people of lut far off from you!
kukhalifiana nami kusikupelekeeni hata mkasibiwa kama walivyo sibiwa watu wa nuhu, au watu wa hud, au watu wa saleh. na watu wa lut' si mbali nanyi.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor