İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
death tolls have been highly politicised in previous outbreaks of unrest in central nigeria, with various factions accused of either exaggerating the figures for political ends or downplaying them to try to douse the risk of reprisals.
idadi ya waliofariki iliingiliwa na siasa katika matukio ya ghasia yaliyopita huko katikati ya naijeria, huku makundi mbalimbali yakishutumiwa kwa ama kutia chumvi kwa kuzidisha idadi kutokana na malengo ya kisiasa au kwa kupunguza idadi hiyo ili kujaribu kuloanisha hatari ya visasi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
carlos rodríguez of rescatar summarizes the reactions of some in the press who are downplaying the gesture by pointing out that the former priest does not have a wife or children to support, while others wonder whether he will spend the reserved funds at his disposition.
carlos rodriguez wa rescatar anatoa muhtasari wa jinsi baadhi ya wanahabari ambao wanarahisisha kitendo hicho kwa kusema kuwa padri huyo wa zamani hana mke wala watoto wa kuwalea, wakati wengine wanajiuliza iwapo atatumia fedha alizokwisha kuzihifadhi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
in the state of new york the cases have exceeded 100,000 people on 3 april.the white house has been criticized for downplaying the threat and controlling the messaging by directing health officials and scientists to coordinate public statements and publications related to the virus with the office of vice-president mike pence.
katika jimbo la new york visa vilikuwa zaidi ya watu 100,000 mnamo 3 aprili.ikulu ya marekani imeshutumiwa kwa kutotilia maanani tishio na kudhibiti ujumbe ya maafisa wa afya na wanasayansi kusimamia taarifa ya umma na machapisho yanayohusiana na virusi na ofisi ya naibu wa rais mike pence.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: