İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
emerging
kutokeza
Son Güncelleme: 2022-11-04
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
such shall be the emerging.
kama hivyo ndivyo utakavyo kuwa ufufuaji.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
emerging from between the backbone and the ribs.
yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
however, biogas is emerging as a viable alternative.
hata hivyo, gesi inayotokana na samadi imejitokeza kama mbadala wenye uhakika.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
erik shares 5 reports on technology trends in africa:
erik anatushirikisha taarifa 5 kuhusu mwenendo wa teknolojia barani afrika:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
trends of covid-19 in eu/eea countries and the uk
masuala ya sasa kuhusu covid-19 katika nchi za eu/eea na uingereza
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
sessions cover topics such as personal data and privacy, emerging generic top-level domains in japan, and global online trends.
vikao vitajadili mada kama vile data binafsi na faragha, kujitokeza kwa tovuti za hali ya juu nchini japan, na mwenendo wa mtandao wa kimataifa.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
these studies have laid the foundation for the new concept that bats host emerging human pathogens.
utafiti huu umeweka msingi wa dhana mpya kwamba popo hubeba virusi vinavyoibuka vya binadamu.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
we believe the best way to support these emerging voices on a global scale is to listen.
tunaamini njia bora zaidi ya kuunga mkono sauti hizi zinazochipukia kwa kiwango cha dunia ni kusikiza.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
kenya: #nairobiblast rocks nairobi, trends on twitter · global voices
kenya: habari za mlipuko jijini nairobi zatawala mijadala ya twita
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
a group of developers and designers from europe who are curious about the emerging african tech hubs are on hack trip of the continent.
kikundi cha watengenezaji na wabunifu wa teknolojia kutoka ulaya ambao wanadadisi ukuaji wa vituo vya teknolojia barani afrika wanaendelea na safari yao ya gari barani humu.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
emerging infectious disease – infectious disease of emerging pathogen, often novel in its outbreak range or transmission mode
ugonjwa unaoibuka wa kuambukizana – ugonjwa wa kuambukizana wa virusi vinayoibuka, mara nyingi nyingi ni mpya katika safu ya mkurupuko wako au njia ya usambazaji wake
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
one thing, however, was clear: a critical mass of bloggers with similar values was emerging around the globe.
jambo moja, hata hivyo, lilikuwa wazi: umma amuzi wa wanablogu wenye maadili yanayofanana na yetu ulikuwa unaanza kujitokeza duniani kote.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
even before all the results are in, just going by the trends, the bjp-led nda alliance has publicly conceded defeat.
hata kabla matokeo hayajafika, kwa kuangalia tu mwelekeo, kundi la vyama vya mseto la nda linaloongozwa na chama cha bjp limetangaza rasmi kushindwa kwake katika uchaguzi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
effective vaccines are essential for interrupting the chain of transmission from animal reservoirs and infected humans to susceptible hosts and are often complementary to antiviral treatment in the control of epidemics caused by emerging viruses.
chanjo faafu ni muhimu katika kukatiza msururu wa usambazaji kutoka kwa wanyama na binadamu walioambukizwa kwa watu walio hatarini na zinatumika pamoja na matibabu dhidi ya virusi katika kudhibiti majanga makubwa yanayosababishwa na virusi vinavyoibuka.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
have you not seen how god propels the clouds, then brings them together, then piles them into a heap, and you see rain drops emerging from its midst?
je! huoni ya kwamba mwenyezi mungu huyasukuma mawingu, kisha huyaambatisha, kisha huyafanya mirundi?
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
furthermore, many african citizens felt that once again, the narrative of a highly publicized story about africa centered on a negative story and neglected the upwards trends the continent has been witnessing.
zaidi ya hayo, raia wengi wa afrika wanaona kuwa habari kuhusu bara la afrika ambazo zinaonyesha mabaya zaendelea kuenezwa, badala ya wanahabari kuripoti kuhusu maendeleo mazuri ambayo yameenea barani afrika hivi karibuni.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
and (bethink you of) the day when we remove the hills and ye see the earth emerging, and we gather them together so as to leave not one of them behind.
na siku tutapo iondoa milima na ukaiona ardhi iwazi, na tukawafufua - wala hatutamwacha hata mmoja kati yao -
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
covid-19 surveillance is expected to monitor epidemiological trends, rapidly detect new cases, and based on this information, provide epidemiological information to conduct risk assessment and guide disease preparedness.
uchunguzi wa covid-19 unatarajiwa kufuatilia mitindo ya ugonjwa, kugundua haraka visa vipya, na kulingana na maelezo haya, kutoa maelezo ya ugonjwa ili kufanya utathmini wa hatari na kutoa mwongozo wa utayarishaji wa magonjwa.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
and [mention] the day when the heaven will split open with [emerging] clouds, and the angels will be sent down in successive descent.
na siku zitapo funguka mbingu kwa mawingu, na wateremshwe malaika kwa wingi,
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans: