İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
the endangered species
mzingira hatarishi
Son Güncelleme: 2023-05-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
after several forceful debates, kristof posted a reply on his blog in which he promised not to do it again - all the while refuting criticism that he had endangered the child by identifying.
baada yamijadala kadhaa ya kulazimisha, kristof alituma maoni katika blogu yake ambapo aliahidi kutokufanya hivyo tena -baada ya muda mfupi alipinga madai kwamba alimhatarisha mtoto kwa kumtambulisha.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
considering the debate generated by healthcare reform in the united states and the gradual withdrawal of the french state from public-funded social action, one might think that social protection is an endangered idea.
kwa kuzingatia mjadala ulioanzishwa na marekebisho ya sera ya huduma za afya ya jamii nchini marekani na kujiondoa taratibu kwa nchi ya ufaransa kutoka kwenye mipango ya jamii inayoendeshwa kwa kodi za wananchi, mtu anaweza kudhani kwamba hifadhi ya jamii ni dhana inayoanza kupitwa na wakati.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
the data shows that out of the 6,000 languages currently in existence, over 200 have died out over the last three generations, 538 are critically endangered, 502 severely endangered, 632 definitely endangered and 607 unsafe.
takwimu zinaonyesha kuwa kati ya lugha 6,000 zilizopo sasa, zaidi ya 200 zimetoweka katika vizazi vitatu vilivyopita, 38 ziko hatarini kabisa, 502 ziko hatarini sana, 632 ziko hatarini bila ya shaka na 607 haziko salama.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
an interactive map of endangered languages, showing 2,500 out of 6,000 tongues at risk, has been released by the united nations educational, scientific and cultural organization (unesco).
ramani shirikishi ya lugha zinazopotea, inayoonyesha lugha 2,500 kati ya 6,000 ambazo ziko hatarini, imezinduliwa na shirika la elimu, sayansi na utamaduni la umoja wa mataifa (unesco).
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: