İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
the meaning of dedication
maana ya neno wakfu
Son Güncelleme: 2016-06-15
Kullanım Sıklığı: 2
Kalite:
Referans:
and it was at jerusalem the feast of the dedication, and it was winter.
huko yerusalemu kulikuwa na sikukuu ya kutabaruku. wakati huo ulikuwa wa baridi.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
now the jews' feast of tabernacles was at hand.
sikukuu ya vibanda ya wayahudi ilikuwa imekaribia.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
and the passover, a feast of the jews, was nigh.
sikukuu ya wayahudi iitwayo pasaka ilikuwa imekaribia.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
now the feast of unleavened bread drew nigh, which is called the passover.
sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, iitwayo pasaka, ilikuwa inakaribia.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
ye know that after two days is the feast of the passover, and the son of man is betrayed to be crucified.
"mnajua kwamba baada ya siku mbili tutakuwa na sikukuu ya pasaka, na mwana wa mtu atatolewa ili asulubiwe."
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
this year the feast of sacrifice came early to gaza, which sacrificed its children and property. despite all this, gaza wants to celebrate eid
mwaka huu sherehe ya utoaji sadaka imekuja mapema gaza, ambapo sadaka ya watoto na mali ilitolewa. pamoja na masahibu yote haya, gaza inahitaji kusherehekea idi
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
now the first day of the feast of unleavened bread the disciples came to jesus, saying unto him, where wilt thou that we prepare for thee to eat the passover?
siku ya kwanza kabla ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi walimwendea yesu wakamwuliza, "unataka tukuandalie wapi chakula cha pasaka?"
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
after two days was the feast of the passover, and of unleavened bread: and the chief priests and the scribes sought how they might take him by craft, and put him to death.
ilikuwa siku mbili tu kabla ya sikukuu ya pasaka na ya mikate isiyotiwa chachu. makuhani wakuu na walimu wa sheria walikuwa wakitafuta njia ya kumtia yesu nguvuni kwa hila wamuue.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
now before the feast of the passover, when jesus knew that his hour was come that he should depart out of this world unto the father, having loved his own which were in the world, he loved them unto the end.
ilikuwa kabla ya sikukuu ya pasaka. yesu alijua kwamba saa yake ya kuondoka ulimwenguni na kwenda kwa baba ilikuwa imefika. alikuwa amewapenda daima watu wake walioko duniani; naam, aliwapenda mpaka mwisho!
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
these are spots in your feasts of charity, when they feast with you, feeding themselves without fear: clouds they are without water, carried about of winds; trees whose fruit withereth, without fruit, twice dead, plucked up by the roots;
kwa makelele yao yasiyo na adabu, watu hao ni kama madoa machafu katika mikutano yenu ya karamu ya bwana. hujipendelea wao wenyewe tu, na wako kama mawingu yanayopeperushwa huko na huko na upepo bila ya kuleta mvua. wao ni kama miti isiyozaa matunda hata wakati wa majira yake, wamekufa kabisa.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans: