Şunu aradınız:: feedback (İngilizce - Svahili)

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

feedback

Svahili

maoni

Son Güncelleme: 2020-10-01
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

thank you for your feedback.6

Svahili

asante kwa maoni yako.

Son Güncelleme: 2021-10-17
Kullanım Sıklığı: 2
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

a public feedback to zambians is crucial just like his own son, mulenga.

Svahili

mrejesho wa wazi kwa wa-zambia ni wa muhimu kama ilivyo kwa mwanae, mulenga.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

the intention of the staff was to solicit feedback from the people about the performance of the ministry.

Svahili

lengo la mfanyakazi huyo lilikuwa kupata maoni kutoka kwa watu kuhusu utendaji wa wizara hiyo.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

there are electronic devices that provide feedback to remind hospital staff to wash their hands when they forget.

Svahili

kuna vifaa vya kielektroniki vinavyotumika kutoa majibu ya kuwakumbusha wafanyakazi wa hospitalini kuosha mikono yao wanaposahau.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

we will develop an observatory to present data nationally and a dashboard for feedback to practices about their data quality and collection of virology and serology samples.

Svahili

tutaunda jukwaa la kimtazamo ili kuwasilisha data kitaifa na dashibodi ya majibu kwa vitendo kuusu ubora wao wa data na ukusanyaji wa sampuli za virolojia na serolojia.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

try to use tools to support submission of students’ feedback and avoid overloading parents by requesting them to scan and send students’ feedback

Svahili

jaribu kutumia vifaa kusaidia uwasilishaji wa maoni na epuka kuwashughulisha wazazi sana kwa kuwaomba kupiga picha na kutuma kazi za wanafunzi.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

as the first to do so, and with former georgian playboy playmate shorena begashvili, the show received a lot of feedback online, both positive and negative.

Svahili

kwa kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo, na msichana wa zamani wa ki-georgia wa playboy, shorena begashvili, kipindi hicho kilipokea marejeo mengi katika wavuti, yote yale yaliyo hasi nay ale yaliyokuwa chanya.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

based on feedback from ppl in #tunisia a pattern emerges: hacked facebook accts were connected to yahoo mail accounts #sidibouzid #ammar404

Svahili

kwa kutumia mwitikio kutoka kwa watu walio #tunisia mwelekeo wa mambo unajitokeza: anuani za facebook zilizoingiliwa zinahusiana na anuani ya yahoo #sidibouzid #ammar404

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

as everyone knows, mobile phone penetration has grown at an explosive rate in africa, this means that sms is a fairly democratic means for getting feedback from people of every demographic across the nation. (funnily enough, not available to us-based residents – more below on that)

Svahili

kama kila mmoja anavyojua, usambaaji wa simu za kiganjani umekua kwa kasi ya mlipuko barani afrika, hii inamaanisha kwamba ujumbe mfupi wa simu (sms) ni njia ya kidemokrasia ya kupata mrejesho kutoka kwa watu wa kila hali nchini. (jambo la kuchekesha ni kuwa huduma hii haipatikani kwa wakazi waaoishi marekani – mengine juu ya suala hili yapo chini)

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Daha iyi çeviri için
7,747,466,111 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam