İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
non-fiction images
picha za kutomhana
Son Güncelleme: 2024-03-29
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
the right to life and non-discrimination
haki ya kuishi na kutokunyanyaswa
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
al luthan welcomes both saudi and non-saudi females.
al luthan inapokea wageni wa kike kutoka saudia na wasio wasudia.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
the centre coordinates between the somali and non-somali journalists.
kituo pia kinaratibu waandishi wa kisomali na wale wasio wasomali.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
and in their substance was the right of the beggar and non- beggar.
na katika mali yao ipo haki ya mwenye kuomba na asiye omba.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
take a stand was built to fight apathy, double speak and non commitment by our friends and colleagues on the forthcoming nigerian elections .
wavuti hiyo ilitengenezwa kupambana na tabia ya kupuuzia masuala muhimu, unafiki na tabia ya kutokujitoa kwa moyo kunakofanywa na marafiki na jamaa zetu katika uchaguzi ujao wa naijeria.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
enough is enough is not a call for the overthrow of the government, and it talks the line of democracy and non-violence.
imetosha sasa basi imetosha sasa basi sio wito wa kuiangusha serikali, na unaongelea msimamo wa demokrasi na amani.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
political parties and non-governmental organisations used a number of social media tools to campaign, monitor and report on namibia elections 2009.
vyama vya siasa na mashirika yasiyo ya kiserikali yalitumia nyenzo kadhaa za habari za kijamii kupiga kampeni, kufuatilia na kuripoti uchaguzi wa namibia 2009.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
multiple lines of evidence support an evolutionary origin of all hcovs from bats, where viruses are well adapted and non-pathogenic but show great genetic diversity.
maelezo mengi ya ushahidi yanaunga mkono asili ya ukuaji wa virusi vyote vya hcov kutoka kwa popo, ambapo virusi vinazoeleka na havina uwezo wa kusababisha magonjwa lakini vinaonyesha hali anuwai ya kijenetiki.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
this has, in some way, limited their foreign audience and hindered the access to their thoughts and opinions to non-arabic and non-french speakers.
hii, kwa namna fulani, imezuia hadhira ya nje na kukinza ufikiwaji wa mawazo na maoni na hadhira isiyozungumza kiarabu au kifaransa.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
early research to assess vaccine efficacy using covid-19-specific animal models, such as ace2-transgenic mice, other laboratory animals, and non-human primates, indicate a need for biosafety-level 3 containment measures for handling live viruses, and international coordination to ensure standardized safety procedures.
utafiti wa mapema wa kutathmini ufanisi wa chanjo kwa kutumia mifamo maalum ya covid-19 ya wananyama, kama vile ace2 yenye jeni kutoka kwa panya, wanyama wengine wa maabara, na chembe zingine zisizo za kibinadamu, unaonyesha hitaji za hatua za uzuizi wa kiwango cha 3 cha usalama wa chembe za kuambukiza, na uratibu wa kimataifa ili kuhakikisha taratibu sanifu za usalama.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: