İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
that is god's favour.
hiyo ni fadhila itokayo kwa mwenyezi mungu.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
people, remember god's favour to you.
enyi watu! kumbukeni neema za mwenyezi mungu juu yenu.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
god's favour to you has been great indeed.
na fadhila za mwenyezi mungu zilizo juu yako ni kubwa.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
by god's favour and blessing; god is all-knowing, all-wise.
kwa fadhila za mwenyezi mungu na neema zake. na mwenyezi mungu ni mwenye kujua, mwenye hikima.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
so they will neither be taken out of it, nor will be asked to seek god's favour on that day.
basi leo hawatatolewa humo wala hao hawatakubaliwa udhuru wao.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
they returned home with god's favour and blessings, without having been touched by evil; for they pursued god's pleasure.
basi wakarudi na neema na fadhila za mwenyezi mungu. hapana baya lilio wagusa, na wakafuata yanayo mridhi mwenyezi mungu.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
remember god's favour to you, and the covenant, which he made with you when you said, "we hear and we obey."
na kumbukeni neema ya mwenyezi mungu iliyo juu yenu, na ahadi yake aliyo fungamana nanyi mlipo sema: tumesikia na tumet'ii.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
and returned with god's favour and grace without harm, for they attended the pleasure of god; and great is the benevolence of god.
basi wakarudi na neema na fadhila za mwenyezi mungu. hapana baya lilio wagusa, na wakafuata yanayo mridhi mwenyezi mungu.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
do you not see those who, in exchange for god's favour, offer only ingratitude and cause their people to descend into the abode of ruin?
hebu hukuwaona wale walio badilisha neema ya mwenyezi mungu kwa kufuru, na wakawafikisha watu wao kwenye nyumba ya maangamizo?
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
this is among god's favours to us and to all mankind; but most men are not grateful.
hiyo ni katika fadhila ya mwenyezi mungu juu yetu na juu ya watu; lakini watu wengi hawashukuru.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
have you not looked at those who repaid god's favours with ingratitude; who pulled their people down to ruin,
hebu hukuwaona wale walio badilisha neema ya mwenyezi mungu kwa kufuru, na wakawafikisha watu wao kwenye nyumba ya maangamizo?
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
remember god's favour to you, he has raised up prophets among you, made you kings, and granted you [favours] such as he has not granted to anyone else in the world.
kumbukeni neema za mwenyezi mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika walimwengu.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
he has given you all that you asked of him; and if you try to reckon up god's favours, you will not be able to count them.
na akakupeni kila mlicho muomba. na mkihisabu neema za mwenyezi mungu hamwezi kuzidhibiti.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: