Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
sex-based immunological differences, lesser prevalence of smoking in women and men developing co-morbid conditions such as hypertension at a younger age than women could have contributed to the higher mortality in men.
tofauti za kingamaradhi zinazohusiana na jinsia, kiwango cha wanawake kuvuta sigara kupunguka na wanaume kuwa na maradhi zaidi ya moja kama vile shinikizo la damu katika umri mdogo kuliko wanawake kunaweza kuwa kulichangia vifo vya juu kwa wanaume.
it is unclear yet whether conditions arising during pregnancy including diabetes, cardiac failure, hypercoagulability or hypertension might represent additional risk factors for pregnant people as they do for nonpregnant people.from the limited data available, vertical transmission during the third trimester probably does not occur, or only occurs very rarely.
haijulikani wazi ikiwa hali zinazotokea wakati wa ujauzito ikiwemo ugonjwa wa kisukari, matatizo ya moyo, shinikizo la juu la damu zinaweza kuwakilisha sababu za hatari kwa watu wajawazito kama zinavyofanya kwa watu wasio wajawazito. kutoka wa data ndogo inayopatika, labda maambukizo ya ugonjwa hautatokea kwa mtoto wakati wa miezi mitatu ya mwisho, au hutokea mara chache sana.