Şunu aradınız:: inclusion (İngilizce - Svahili)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

English

Swahili

Bilgi

English

inclusion

Swahili

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

inclusion of the the employment secretariat website link in the institutional websites

Svahili

pamoja

Son Güncelleme: 2020-12-30
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

it matters in the fight for greater social inclusion, for creativity, economic development and safeguarding indigenous knowledge.

Svahili

kinahusu katika mapambano kwa ajili ya ujumuishaji wa jamii , kwa ajili ya ubunifu, maendeleo ya kiuchumi na kulinda ufahamu wa watu wa makabila.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

@sombrerorojo : go on! go on with your inclusion discourse: tierruos , brutes, illiterate.

Svahili

@sombrerorojo : endeleeni! endeleeni na sera ya kuwaunganisha watu: tierruos , wachovu, wajinga.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

it was whether inclusion in the coalition’s statement of a particular right or strategy was necessary if it was both unrelated to the immediate objective of breaking the siege and dimmed the prospect of a truly mass demonstration.

Svahili

sehemu hiyo ilikuwa iwapo kulikuwa na ulazima wa kujumuishwa kwa haki fulani au mkakati hata kama havihusiani na lengo lililopo la kuvunja vikwazo na kupunguza matarajio ya maandamano ya kweli ya umma.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

the poll shows, among other things, that somalis want a somalia based on the civil and criminal codes of sharia, a strong central government and are divided over the inclusion of women in government.

Svahili

pamoja na mambo mengine, takwimu za maoni zinaonyesha kwamba, wa-somali wanahitaji somalia itakayozingatia misingi ya “sharia” za kiislamu kwa makosa ya madai na jinai, serikali kuu iliyo imara na (wa-somali) wamegawanyika juu ya hatua za kuwajumuisha wanawake katika muundo wa serikali.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

amongst those suggestions were the inclusion of gender identity and hiv status as motives for which it is never admisible for a human being to be discriminated against in a work environment, which fall within the fundamental principles that govern our labor rights, in section b, article 2 of that legal document.

Svahili

miongoni mwa mapendekeo hayo kulikuwa na kipengele cha kuweka utambulisho wa kijinsia na hali ya afya ya ukimwi kama sababu ambayo haikubaliki kwa binadamu kubaguliwa katika mazingira ya kazi, haki inayoangukia kwenye kanuni za msingi zinazoongoza haki za kazi, kwenye sehemu b, ibara ya 2 ya waraka huo wakisheria.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

İngilizce

ensure inclusion of the distance learning programmes: implement measures to ensure that students including those with disabilities or from low-income backgrounds have access to distance learning programmes, if only a limited number of them have access to digital devices.

Svahili

hakikisha kujumuishwa kwa programu za kujifunza kupitia mtandao: tekeleza hatua kuhakikisha kuwa wanafunzi wakiwemo wale walio na ulemavu au kutoka sehemu zenye mapato duni wana ufikivu wa programu za kujifunza kupitia mtandao, ikiwa ni wachache tu kati yao wana ufikivu kwa vifaa vya kidijitali.

Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Daha iyi çeviri için
7,745,789,558 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam