İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
infectious diseases
magonjwa ya kuambukiza
Son Güncelleme: 2023-08-02
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
inflammatory, infectious, and microbial diseases
kuvimba, kuambukiza, na magonjwa ya microbial
Son Güncelleme: 2024-04-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
keep infectious animal diseases out of the european union!
usiingize ugonjwa wa kuambukiza wanyama katika nchi za umoja wa ulaya
Son Güncelleme: 2014-02-06
Kullanım Sıklığı: 2
Kalite:
species: beluga whale coronavirus sw1, infectious bronchitis virus
aina: virusi vya korona vya nyangumi ya beluga sw1, virusi vya kuambukiza vya mkamba
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
products of animal origin may carry pathogens that cause infectious diseases in animals
chakula kutoka kwa wanyama, chaweza kusababisha magonjwa ya kuambukiza wanyama wengine
Son Güncelleme: 2014-02-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
list of epidemics and pandemics – a list of death tolls due to infectious disease
orodha ya majanga na majanga makubwa – orodha ya watu waliofariki kutokana na ugonjwa wa kuambukizana
Son Güncelleme: 2024-03-20
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
infectious disease preparedness and response plans may be subject to national or subnational recommendations.
matayarisho ya magonjwa ya kuambukizwa na mipango ya mwitikio huweza kufuata mapendekezo ya taifa au eneo fulani.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
except for avian infectious bronchitis, the major related diseases have mainly an intestinal location.
isipokuwa kwa mkamba wa kuambukiza, ugonkwa kuu unaohusiana uko kwenye sehemu ya matumbo
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
emerging infectious disease – infectious disease of emerging pathogen, often novel in its outbreak range or transmission mode
ugonjwa unaoibuka wa kuambukizana – ugonjwa wa kuambukizana wa virusi vinayoibuka, mara nyingi nyingi ni mpya katika safu ya mkurupuko wako au njia ya usambazaji wake
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
a further fundamental measure in pandemic dynamics is the length of time from infection to when a person is infectious to others and the mean duration of infectiousness.
kipimo kingine cha kimsingi katika masuala ya janga kubwa ni kiwango cha muda kuanzia wakati wa kuambukizwa hadi wakati mtu anaweza kuwaambukiza wengine na kipindi cha wastani cha uwezo wa kuambukizana.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
drug development is the process of bringing a new infectious disease vaccine or therapeutic drug to the market once a lead compound has been identified through the process of drug discovery.
utengenezaji wa dawa ni mchakato wa kuleta chanjo au dawa ya matibabu ya ugonjwa unaoambukiza kwenye soko punde kemikali kuu inapotambuliwa kupitia mchakato wa kugundua dawa.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
paul hunter, et al., estimated that covid-19, which seems substantially more infectious than sars, will not end in 2020.
paul hunter na wenzake, walikadiria kwamba covid-19, ambao kimsingi unaonekana kuambukiza zaidi ya sars, hautaisha mwaka wa 2020.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
use of steroids: as described above, steroids are immunosuppressant commonly used as an adjunctive therapy for infectious diseases to reduce the severity of inflammatory damage.
matumizi ya steroids: ilivyofafanuliwa hapa juu, steroids ni vikandamizi vya kinga ambavyo hutumika sana kama tiba ya ziada kwa magonjwa ya kuambukizana ili kupunguza kiwango cha uharibifu wa kuchomeka.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
coronaviruses were first discovered in the 1930s when an acute respiratory infection of domesticated chickens was shown to be caused by infectious bronchitis virus (ibv).
virusi vya korona viligunduliwa kwa mara ya kwanza miaka ya 1930 wakati maambukizo kali yanayohusiana na upumuaji katika kuku wa nyumbani ulionekana kusababishwa na virusi vya kuambukiza vya mkamba.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
lastly, shipments of items from geographic areas severely affected by covid-19 may be interrupted.an infectious disease preparedness and response plan can be used to guide protective actions.
mwisho, usafirishaji wa bidhaa kutoka maeneo zilizoathirika vibaya na covid-19 huweza kukatizwa.mipango ya matayarisho na mwitikio wa ugonjwa wa kuambukizwa huweza kutumiwa kuongoza hatua za ulinzi.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
feline coronavirus (fcov) causes mild enteritis in cats as well as severe feline infectious peritonitis (other variants of the same virus).
virusi vya korona vya paka (fcov) husababisha uvimbe mdogo kwenye tumbo ya paka na pia ugonjwa mkali ya kuambukiza wa uvimbe wa ngozi ya fumbatio kwenye paka (magonjwa mengine ya virusi hivyo).
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
hong kong raised its infectious disease response level to the highest and declared an emergency, closing schools until march and cancelling its new year celebrations.the retail sector has been impacted globally, with reductions in store hours or temporary closures.
hong kong iliongeza hali ya mwitikio wa magonjwa ya kuambukizwa hadi hali ya juu zaidi na kutangaza hali ya dharura, na kufunga shule hadi machi na kufuta sherehe za mwaka mpya.sekta ya biashara ya rejareja imeathirika kimataifa, na kupungzwa kwa masaa ya kazi au kufungwa kwa muda.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
b'coronavirus disease 2019 (covid-19) is an infectious disease caused by severe acute respiratory syndrome coronavirus 2 (sars-cov-2).
ugonjwa wa virusi vya korona 2019 (covid-19) ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vya korona vya ugonjwa mkali wa matatizo ya kupumua (sars-cov-2).
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: