İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
whether you reveal anything or hide it, god is aware of everything.
mkidhihirisha chochote kile, au mkikificha, basi hakika mwenyezi mungu ni mwenye kujua kila kitu.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
god has numbered it, and they have forgotten it. god is witness over everything.
kwani huoni kwamba mwenyezi mungu anajua vilivyomo katika mbingu na vilivyomo katika ardhi?
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
whether you conceal what you say or reveal it, god knows best all that the hearts contain.
na ficheni kauli zenu, au zitangazeni; hakika yeye ni mjuzi wa yaliyomo vifuani.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
whether you publish what is in your hearts or hide it, god shall make reckoning with you for it.
na mkidhihirisha yaliyomo katika nafsi zenu au mkayaficha, mwenyezi mungu atakuhisabuni kwayo.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
whether you reveal what is within your selves, or conceal it, god will call you to account for it.
na mkidhihirisha yaliyomo katika nafsi zenu au mkayaficha, mwenyezi mungu atakuhisabuni kwayo.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
the last hour is bound to come. there is no doubt about it. god will raise up those who are in their graves.
na kwamba hakika saa itakuja hapana shaka kwa hilo, na kwamba hakika mwenyezi mungu atawafufua walio makaburini.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
and that we have revealed to thee of the book is the truth, confirming what is before it; god is aware of and sees his servants.
na hayo tuliyo kufunulia kutoka kitabuni ni kweli yenye kusadikisha yaliyo kuwa kabla yake. hakika mwenyezi mungu kwa waja wake ni mwenye khabari na mwenye kuona.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
they would like to extinguish the light of god with a blow from their mouths, but even though the unbelievers may dislike it, god has decided to let his light shine forever.
wanataka kuizima nuru ya mwenyezi mungu kwa vinywa vyao, na mwenyezi mungu anakataa ila aitimize nuru yake ijapo kuwa makafiri watachukia.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
but whoever changes it after he has heard it, the guilt is upon those who change it. god is all-hearing, all-knowing.
na atakaye ubadilisha wasia baada ya kuusikia, basi dhambi yake ni juu ya wale watakao ubadilisha; hakika mwenyezi mungu ni mwenye kusikia mwenye kujua.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Benzerlik derecesi düşük bazı insan çevirileri gizlendi.
Benzerlik derecesi düşük olan sonuçları göster.