Şunu aradınız:: lumad (İngilizce - Svahili)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

English

Swahili

Bilgi

English

lumad

Swahili

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

belgian activists show support for lumad communities.

Svahili

wanaharakati wa ubelgiji waiunga mkono jamii ya lumad.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

activists in the netherlands show support for the lumad.

Svahili

wanaharakati nchini uholanzi waiunga mkono jamii ya lumad.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

"tagaynop" is a lumad mandaya term for nightmare.

Svahili

"tagaynop" ni neno la lumad mandaya likiwa na maana ya jinamizini.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

filipino activists in new york city show support for the lumad.

Svahili

wanaharakati wa kilipino katika jiji la new york wajitokeza kuiunga mkono jamii ya lumad.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

below are photos showing international solidarity for the lumad:

Svahili

zifuatazo ni picha zinazoonesha mshikamano wa kimataifa uungaji mkono jamii ya lamad:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

"mandayuman" is a lumad mandaya term for where people live.

Svahili

"mandayuman" ni neno la lumad mandaya lenye maana ya mahali watu wanapoishi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

filipino teachers in university of california berkeley show support for the lumad.

Svahili

walimu wa kifilipino wa chuo kiuu cha california berkeley wajitokeza kuiunga mkono jamii ya lumad.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

“the role of women in the struggle of the native lumad is important.

Svahili

“jukumu la wanawake katika harakati za kuilinda jamii halisi ya lumad ni la muhimu.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

human rights activists attending a conference in germany show support for lumad communities.

Svahili

wanaharakati wanaohudhuria kongamano la nchini ujerumani waunga mkono jamii za lumad.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

"talabok" is a lumad matigsalog term for social gathering or market day.

Svahili

"talabok" ni neno la lumad matigsalog linaloashiria kusanyiko la kijamii au siku ya gulio.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

testimonies from some of the lumad were shared on facebook by multimedia group southern tagalog exposure.

Svahili

shuhuda kutoka kwa baadhi ya jamii ya watu wa lumad zilisambazwa kupia mtandao wa facebook na kikundi cha southern tagalog exposure.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

for its part, the military has denied that it organized paramilitary groups to harass the lumad communities.

Svahili

hata hivyo, jeshi limekanusha kuwa liliratibu makundi mithili ya jeshi kwa ajili ya kuzidhalilisha jamii za watu wa lumad.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

i vowed to myself as a lumad since childhood to continue our fight until i die."

Svahili

tokea nikiwa mdogo, mimi kama raia wa lumad niliapa kuendelea kudai haki yetu hadi siku nitakayokufa."

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

facebook users were asked to share this profile photo created by human rights groups in support of the lumad.

Svahili

watumiaji wa facebook waliombwa kusambaza picha hii ya umbo iliyoasisiwa na makundi ya watetezi wa haki za binadamu kama namna ya kuitetea jamii ya watu wa lumad.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in mindanao island, located in the southern part of the country, the collective term for ethnic groups is lumad.

Svahili

katika kisiwa cha mindanao, kilichopo kaskazini mwa ufilipino, jamii ya watu wa huko hujulikana kwa jina la lumad.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

the banner reflects the stand of the catholic church in tandag city where more than 2,000 lumad evacuees have sought shelter.

Svahili

tangazo likionesha kusisitiza msimamo wa kanisa katoliki katika jiji la tandag ambapo zaidi ya watu wa jamii ya lumad 2,000 walioyakimbia makazi yao walipatiwa hifadhi.

Son Güncelleme: 2024-04-11
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

they burned our house. only the clothes we wore were saved. according to the soldiers, the lumad are not allowed to study.

Svahili

walichoma nyumba yetu. tulibakiwa tu na nguo tulizokuwa tumevaa. wanajeshi walidai kuwa, watu jamii ya lumad hawapaswi kwenda shule.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

various lumad groups which are resisting the entry of mining firms into their communities has been in the news during september and october 2015 after they were attacked by paramilitary groups.

Svahili

makundi anuai ya lumad ambayo yanapinga kuingiliwa na makampuni ya uchimbaji madini yamejitokeza kwenye vyombo vya habari kati ya miezi ya septemba na oktoba 2015 mara baada ya kushambuliwa na makundi ya watu mithili ya wanajeshi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

dubbed the manilakbayan 2015, the people’s caravan also seeks public support to end the human rights abuses committed by state forces against the lumad.

Svahili

ukijulikana kama manilakbayan 2015, msafara wa watu ambao pia una lengo la kutafuta kuungwa mkono na jamii ya kimataifa katika kukomesha ukiukwaji wa haki za bianadamu unaofanywa na majeshi ya nchi dhidi ya jamii ya lumad.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

for several days in september, the twitter hashtag #stoplumadkillings‬‬ trended in the philippines when filipino netizens turned to social media to express their solidarity with the displaced lumad.

Svahili

kwa siku kadhaa za mwezi septemba, kiungo habari cha twitter#stoplumadkillings‬‬ kilipata umaarufu miongoni mwa raia wa mtandaoni wa nchini ufilipino pale walipotumia mitandao ya kijamii kama namna ya kuwaunga mkono watu wa jamii ya lumad waliofukuzwa kwenye makazi yao.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
7,800,122,472 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam