İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
provision of occupation health service
huduma ya afya ya kazi
Son Güncelleme: 2024-04-14
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
health service delivery
utoaji wa huduma za afya
Son Güncelleme: 2022-11-21
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
this decreases the risk of health services being overwhelmed and provides more time for vaccines and treatments to be developed.
hii hupunguza hatari ya huduma za afya kulemewa na hutoa muda zaidi kwa chanjo na matibabu kutengenezwa.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
the source of poor and uneven health outcomes lies in the disparities in household incomes and physical access to health services.
huduma hafifu inachangiwa na utofauti wa vipato katika familia pamoja na namna ya kuzipata huduma za afya.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
she spoke to a writer for merlin, an international ngo that builds health services in fragile states.
alizungumza na mwandishi wa merlin, azise ya kimataifa inayojenga huduma za afya katika mazingira magumu.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
“years of conflict here disrupted our formal schooling system and broke up health services so that youths today know very little about hiv and aids.
“miaka ya migogoro hapa iliharibu mfumo wetu wa zamani wa elimu na kubomoa huduma za afya ndio maana vijana leo wanajua kidogo sana kuhusu vvu/ukimwi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
the government of egypt decides to increase wages, support state subsides, increase the budget for education and health services and provide egyptians with a decent living, freedom and social justice
serikali ya misri imeamua kuongeza mishahara, ruzuku, imeongeza bajeti ya huduma za elimu na afya na kuwapa wa-misri maisha bora, uhuru na haki za kiraia
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
maldivian blogger hani amir writes about the traditional fishing methods of the reef fishermen of maldives which include catching tons of fish with their hands, instead of nets or rods.
mwanablogu wa maldivihani amir anaandika kuhusu mbinu za uvuvi asilia ikiwa ni pamoja na kukamata mamia ya samaki kwa mikono yao, badala ya kutumia nyavu au fimbo.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
this was their own method of seeking the pleasure of god.
sisi hatukuwaandikia hayo, ila kutafuta radhi za mwenyezi mungu.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
this pilot was in collaboration with the phe seroepidemiology unit and added to the residual blood samples submitted to phe by national health service (nhs) laboratories.
jaribio hili lilifanywa kwa ushirikiano na kitengo cha seroepidemiolojia ya phe na kuongezea kwenye sampuli zilizokuwa za damu zilizowasilishwa kwa phe na mahabara za huduma ya afya ya kitaifa (hhs).
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
as a result, the wealthy use health services four times more often than the poor: 40.9 percent of total expenses in this sector were attributed to the wealthiest fifth, whereas 10.1 percent were paid by the poorest fifth, according to the world bank.
matokeo yake ni kuwa, watu matajiri hufaidi huduma za afya mara nne zaidi ya watu masikini: kwa mujibu wa benki ya dunia, asilimia 40.9 ya matumizi yote ya sekta ya afya yalichangiwa na kundi la watu matajiri, wakati asilimia 10.1 ilichangiwa na kundi la watu masikini.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
rcgp rsc’s surveillance with phe is defined as health protection under regulation 3 of the health service (control of patient information) regulations 2002.
uchunguzi wa rcgp rsc na phe unafafanuliwa kuwa ulinzi wa afya chini ya kanuni ya 3 ya kanuni za huduma ya afya (udhibiti wa maelezo ya mgonjwa) za 2002.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
telma responded on their prime time news programme, saying that "ignorance is the method of the insecure":
telma ilikuwa na maoni yafuatayo:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
after the "i am not a martyr" campaign in honor of mohammad chaar and the "i am not naked" campaign first in support of olympic skier jackie chamoun and then against domestic violence, the anti-racism campaign is using the same (and now-familiar) method of online protest featuring average citizens posting selfies and carrying a message.
baada ya kampeni ya "mimi si mhafidhina" kwa heshima ya mohammad chaar na kampeni ya "mimi si uchi" kumwuunga mkono jackie chamoun mshindi wa olimpiki wa mchezo wa kuteleza kwenye barafu na kisha dhidi ya unyanyasaji wa majumbani, kampeni ya kupinga ubaguzi wa rangi inatumia namna inayofanana (kwa sasa ni ile ile) ya kuonyesha upinzani mtandaoni kwa kuwaonyesha wananchi wakiweka habari na picha zao zenye kubeba ujumbe.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor