Şunu aradınız:: mutharika (İngilizce - Svahili)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

English

Swahili

Bilgi

English

mutharika

Swahili

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

İngilizce

Svahili

Bilgi

İngilizce

bingu wa mutharika at the metropolitan museum in new york.

Svahili

bingu wa mutharika akiwa makumbusho ya jiji la new york.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

mutharika was expected to carry the day in the less populous northern region.

Svahili

mutharika alitarajiwa kupata ushindi katika majimbo yenye watu wachache ya kaskazini.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

in 2004 dr. bingu wa mutharika was elected to this honourable office on a udf.

Svahili

mwaka 2004 dk. bingu wa mutharika alichaguliwa kuingia katika ofisi hii inayoheshimika kupitia udf.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

state house says that both dr bingu wa mutharika and chimombo are devout roman catholics.

Svahili

ikulu inaeleza kuwa wote dkt bingu wa mutharika na chimombo ni waumini wa kanisa katoliki la roma.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

for all intents and purposes, mutharika appears to be headed for a strong landslide performance.

Svahili

kwa kila hali, inaonekana kuwa mutharika anaelekea kuibuka na ushindi mithili maporomoko ya ardhi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

compare that with karonga when only 2.5 million kwacha was given by dr bingu wa mutharika!

Svahili

bingu wa mutharika!

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

another journalist kondwani munthali refuted reports that mutharika was admitted at milpark hospital in south africa:

Svahili

mwanahabari mwingine kondwani munthali alizipinga ripoti kuwa mutharika alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya milpark huko afrika kusini:

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

media reports within malawi and all over the world state that malawi’s president bingu wa mutharika is dead.

Svahili

taarifa za vyombo vya habari nchini malawi na duniani kote zinaeleza kwamba rais wa malawi bingu wa mutharika amefariki dunia.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

chimombo has since mid-december 2009 been seen sitting next to mutharika, a position reserved for high government officials and trusted pals.

Svahili

kuanzia katikati ya mwezi disemba 2009 chimombo amekuwa akiketi pembeni ya mutharika, nafasi inayotengwa kwa maofisa wa juu serikalini na maswahiba wanaoaminiwa.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

malawians are digesting news that the country's president dr bingu wa mutharika is on may 1 to marry his former tourism minister callister chimombo.

Svahili

wamalawi wanatafakari taarifa kuwa mnamo tarehe 1 mei, rais wa nchi dkt. bingu wa mutharika anatarajiwa kumuoa waziri wa zamani wa utalii callister moyo.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

a group of cabinet ministers appeared at a news conference on friday night to declare that vice-president joyce banda cannot succeed president bingu wa mutharika.

Svahili

kundi la mawaziri lilijitokeza katika mkutano na waandishi wa habari usiku wa ijumaa na kutangaza kuwa makamu wa rais banda hataweza kumrithi rais bingu wa mutharika.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

since malawi's president bingu wa mutharika declared karonga as a national disaster area, appeals for help to the victims have been pouring to help the people in the uranium mining district.

Svahili

tangu rais wa malawi bingu wa mutharika aliposema rasmi kuwa karonga ni sehemu ya janga la kitaifa, rai za kuwasaidia waliathirika zimekuwa zikimiminika ili kuwasaidia watu katika wilaya hii ya migodi ya madini ya uranium.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

instead, chimombo says it is the president who chooses who to sit next to him, and as such it was "just a previlege" that mutharika has allowed her to sit next to him.

Svahili

badala yake, chimombo anasema kuwa ni rais ambaye huamua ni nani anayeketi pembeni yake, na kwa hiyo ilikuwa ni “ustahiki” kwamba mutharika alimruhusu kuketi karibu naye.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

İngilizce

*update 1: malawi's vice-president joyce banda has confirmed that president bingu wa mutharika has died and declared 10 days of mourning.

Svahili

*habari mpya: makamu wa rais wa malawi amethibitisha kwamba rais bingu wa mutharika amefariki dunia na ametangaza siku 10 za maombolezo.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

[. . . the pundits thought that john tembo would garner more votes from the southern region while beating mutharika comprehensively in the central region, mcp’s stronghold.

Svahili

wataalamu wa mambo walidhani kuwa john tembo angepata kura nyingi kwenye majimbo ya kusini wakati angemshinda kabisa mutharika kwenye majimbo ya kati, ambayo ni ngome ya mcp.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

İngilizce

all seven presidential candidates, in next week’s general elections, have come under fire, for not incorporating anything tangible, to do with media in their manifestoes.these include, mcp/udf’s john tembo, dpp’s bingu wa mutharika, aford’s dindi gowa nyasulu, narc’s loveness gondwe, rp’s stanley masauli, petra’s kamuzu chibambo and independent james nyondo.this has since prompted some journalists, to question the country’s political officials, on whether they indeed regard the media, as the fourth estate or not, in line with the constitution.

Svahili

wagombea wote saba, katika uchaguzi mkuu wa juma lijalo, wameonja joto la jiwe, kwa kutokuingiza jambo lolote linaloonekana, kuhusu vyombo vya habari katika ilani zao. hawa ni pamoja na john tembo wa mcp/udf, bingu wa mutharika wa dpp, dindi gowa nyasulu wa afford, loveness gondwe wa narc, stanley masauli wa rp, kamuzu chibambo wa petra na mgombea binafsi james nyondo.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Daha iyi çeviri için
8,029,005,180 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam