İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
maite oronoz during the confirmation process in the puerto rico senate.
maite oronoz wakati wa zoezi la kuthibitishwa kwenye baraza la seneti la puerto rico.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
after the vote that confirmed oronoz rodríguez as a supreme court judge, some senators requested a recount of the vote.
baada ya kura iliyomthibitisha oronoz rodríguez kuwa jaji wa mahakama kuu, baadhi ya maseneta waliomba kuhesabiwa upya kwa kura.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
on monday, june 23, 2014, the puerto rico senate confirmed attorney maite oronoz rodríguez as a supreme court judge.
mnamo jumatatu, juni 23, 2014, baraza la seneti la puerto rico lilimthibitisha mwanasheria maite oronoz rodríguez kuwa jaji wa mahakama kuu nchini humo.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
among those voting against oronoz rodríguez was the only female senator, of the puerto rican independence party, maría de lourdes santiago.
katika kura zilizomkataa oronoz rodríguez ilikuwemo ya seneta pekee wa kike, wa chama cha puerto rican independence party, maría de lourdes santiago.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
oronoz rodríguez, who is the fifth woman to serve on the supreme court, expressed her gratitude and pride in a written statement :
oronoz rodríguez, ambaye anakuwa mwanamke wa tano kuitumikia mahakama kuu, alitoa shukrani zake kupitia tamko la maandishi :
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
i applaud the governor for nominating maite oronoz rodríguez. — luis v. gutierrez (@repgutierrez) june 23, 2014
ninampongeza gavana kwa kumteua maite oronoz rodriguez kuwa jaji
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
if it weren't for the rampant lesbophobia in the capital, we wouldn't be in this mess over oronoz' confirmation.
kama pasingekuwa na hofu na chuki dhidi ya mashoga mjini humu, tusingekuwa na zengwe hili la kuthibitishwa kwa oronoz.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
not only will maite oronoz make a superb judge but her appointment to pr's supreme court is an important step forward for civil rights. — rep. nydia velazquez (@nydiavelazquez) june 16, 2014
si tu kuwa maite oronoz atakuwa jaji bora lakini uteuzi wake kuwa jaji wa mahakama kuu ni hatua moja mbele kwa haki za kiraia
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: