İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
near which is the garden, the place to be resorted to.
karibu yake ndiyo ipo bustani inayo kaliwa.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
therefore, urdu resorted to lithography while other languages adopted typeset.
kwa hiyo ki-urdu kiliendelea kutumia sanaa ya kuandika kwa mkono wakati lugha nyingine zilichukua muundo wa miandiko ya mashine.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
and he went forth again by the sea side; and all the multitude resorted unto him, and he taught them.
yesu alikwenda tena kando ya ziwa. umati wa watu ukamwendea, naye akaanza kuwafundisha.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
but for ms. eyakuze it seemed that the former attorney general had resorted to the dark arts to get himself out of trouble:
lakini, kwa mujibu wa eyakuze, ilionekana kuwa, jaji huyo mkuu mstaafu aliamua kutumia njia za giza katika harakati za kutaka kujinasua kwenye mashitaka yaliyokuwa yakimkabili:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
former football commentator elejalder godos joined the twitter users who resorted to the microblogging network to express their feelings about this sad news:
mtangazaji wa zamani wa kandanda elejalder godos aliungana na watumiaji wa mtandao wa twita ambao waliamua kuingia kwenye mtandao huo kuonyesha hisia zao kuhusu habari hizo za kusikitisha:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
and on the sabbath we went out of the city by a river side, where prayer was wont to be made; and we sat down, and spake unto the women which resorted thither.
siku ya sabato tulitoka nje ya mji, tukaenda kando ya mto ambapo tulidhani ya kuwa ni mahali pa kusali. tuliketi, tukaongea na wanawake waliokusanyika mahali hapo.
Son Güncelleme: 2012-05-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
and i commented: everyone is now wondering what new information was given in the al jazeera documentary, when the whole nation knew he was poisoned. what's new is that evidence is provided, when at first there were just rumours. many palestinians questioned why the documentary was being broadcast now, and resorted to conspiracy theories as an explanation.
na mimi mwenyewe nikatoa maoni: wapalestinia wengi waliuliza iweje makala hayo yatangazwe sasa, na wengine wakaoanisha habari hizo kuwa hila.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: