İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
it's risky
faida ya kutunza mazingira
Son Güncelleme: 2020-01-18
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
maana ya no risky no story
maana ya no risky no story
Son Güncelleme: 2024-04-13
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
since many school buildings are not safe, classes are run out in the open and in some places, even inside risky buildings.
kwa kuwa majengo mengi ya shule bado siyo salama, wanafunzi hujifunzia katika maeneo ya wazi, na maeneo mengine, hata kwenye majengo ambayo ni hatari.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
this indicates lower retention rates of young workers and older workers staying in their old jobs since it is too risky to find another job.
jambo hili linaashiria kuwepo kwa viwango vya chini vya kumweka mfanyakazi kwa wafanyakazi vijana na wafanyakazi watu wazima wanaoendelea kubaki katika kazi zao za zamani kwa kuwa ni jambo la kuhatarisha sana kujaribu kutafuta kazi nyingine.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
in the absence of alternative options, working parents often leave children alone when schools close and this can lead to risky behaviours, including increased influence of peer pressure and substance abuse.
kusipokuwepo chaguo mbadala, wazazi wanaofanya kazi mara nyingi huwaacha watoto pekee yao shule zinapofungwa na hii inaweza kusababisha mienendo hatari, ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa shinikizo la wanarika na matumizi ya dawa za kulevya.
Son Güncelleme: 2020-08-25
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
the massive number of protesters taking to the streets demanding government reforms has created a tipping point for women’s civic participation in a country where it is risky and dangerous to demonstrate against the authorities.
idadi kubwa ya waandamanaji wanaojitokeza mitaani na kudai mageuzi serikalini yamesababisha ushiriki wa wanawake kupanda na kufikia ncha ya mizani katika nchi ambamo ni hatari kupinga mamlaka waziwazi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
critical reporting on the government during this sensitive time appeared risky after ministry of information permanent secretary sethi kamuhanda toured print media offices earlier this month, threatening to shutter any media house that "put the government in a bad light," state television reported.
kuchapisha habari zinazoikosoa serikali katika kipindi hiki nyeti lilionekana kuwa jambo lenye hatari kubwa hasa baada ya katibu mkuu wa wizara ya habari, sethi kamuhanda, kutembelea ofisi za vyombo mbalimbali vya habari mwezi uliopita, ambapo alitishia kuvifunga vyombo vya habari "vinavyochapisha habari zinazoifanya serikali ionekane katika mwanga mbaya," televisheni ya taifa iliripoti.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor