Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
surprise
mangaa
Son Güncelleme: 2021-06-06
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Referans:
so it came as a surprise that a catholic priest was also detained and then exported during last week's crackdown.
kwa hiyo lilikuwa tukio la kushangaza kwamba padre mkatoliki alikamatwa na kisha kufukuziwa mbali na tukio la hivi karibuni la ushughulikiaji wanaoinjilisha.
it comes as no surprise, then, that the news that pope benedict xiv resigned from his post was interpreted from this angle by russian bloggers.
haikuja bila kutarajiwa, basi, kuwa habari za kujiuzulu kwa papa benedict xiv na kuachia wadhifa wake zimetafsiriwa kwa mtazamo huu na wanablogu wa ki-rusi.
so it is no surprise that people from this same digital era have decided to take advantage of the techno-crazed lifestyle and jump on an accra twestival in ghana.
kwa hiyo haishangazi kwamba watu wa zama hizi hizi za kidijitali wameamua kuutumia mtindo wa maisha wa teknolojia-teknolojia na kurukia tamasha la accra twestival huko nchini ghana.
a new indian tv talk show titled satyamev jayate (truth alone prevails) premiered on may 6, 2012 and took the nation by surprise.
kipindi kipya cha mazungumzo ya runinga ya india kwa jina satyamev jayate (ukweli pekee utatawala) kilicho peperushwa tarehe 6,mei, 2012 kiliiacha nchi hiyo kwenye hali ya mshangao.
the whole thing, which is one big surprise for polish users, is almost solved after readers make up their minds and make their decision known by clicking on either of the three buttons.
jambo hili, ambalo ni limewashangaza watumiaji wa kipolish, linaweza kutatuliwa baada ya wasomaji kuamua na kuonyesha uamuzi wao kwa kutobonyeza chochote kati ya vifungo au machaguo hayo matatu.
barnyard chorus observes that “rape culture in singapore is a phenomenon that has really caught us by surprise and disturbed us when it finally reared its unabashedly ugly, misogynistic andabhorrent head.”
barnyard chorus anaona kuwa utamaduni wa ubakaji nchini singapore ni jambo ambalo limetukamata kwa mshangao na kutusumbua wakati hatimaye lilipotokeza kichwa chake kisicho na haya, kinachochefua na chenye chuki dhidi ya wanawake.”