Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
the revelations also give ammunition to governments seeking to tighten restrictions on media and the internet.
kufahamika kwa vitendo hivyo kadhalika inazilipua serikali zinazotafuta kubana zaidi vizuizi vya uandishi pamoja na mtandao wa intaneti.
as of 2009, it is estimated that over 65 percent of malaysian homes were connected to the internet.
mpaka kufika mwaka 2009, zaidi ya asilimia 65 ya nyumba nchini malaysia tayari zilikuwa zimeunganishwa na mtandao wa intaneti.
some worry it will lead to even more distrust and censorship of the internet and social media in their countries.
wengine wana mashaka gatua hiyo inaweza kusababisha hali ya kutokuaminiana na kufuatiliwa kwa mtandao wa intaneti na mitandao ya kijamii katika nchi zao.
the internet was also blamed for the instant dissemination of the sex tapes which prodded lawmakers to craft a cybercrime bill.
mtandao wa intaneti pia ulilaumiwa kwa kusambaza papo kwa papo kanda za hizo za ngono na hivyo watunga sheria kuamua kupitisha mswaada wa makaosa ya kimtandao.
during these times, given the technical limitations, the immediate mainstream access to the internet is not possible.
katika kipindi hiki, na kwa kuzingatia vikwazo vya kiufundi, haiwezekani kwa haraka kuwezesha watu kupata huduma ya intaneti wakiwa majumbani mwao.