İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
no lo hice por propia iniciativa.
wala mimi sikutenda hayo kwa amri yangu.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
iniciativa de medios ciudadanos ante el ciclón
uandishi wa kiraia wakati wa kimbunga
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
iniciativa empresarial, cultura y solidaridad en África
ujasiriamali,utamaduni na mshikamano katika afrika
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
di: «no me toca a mí modificarlo por iniciativa propia.
sema: hainifalii mimi kuibadilisha kwa nitakavyo nafsi yangu.
Son Güncelleme: 2014-07-03
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
ghana decides da más información sobre la iniciativa #iregistered :
“ghana decides” wanaeleza zaidi kuhusu mpango wa #iregistered:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Ésta fue la cuarta reunión de la iniciativa de veteranos blogueros kenianos.
huo ulikuwa mkutano wa 4 uliotokana na msukumo wa wanablogu wakongwe wa kenya.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
es en ese momento que dejó su trabajo y comenzó con la red africana de iniciativa juvenil.
na hili ndilo lililomfanya akaacha kazi yake na kuanzisha mradi wa mtandao wa vijana wa kiafrika (african youth initiative network).
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
la iniciativa tiene por objetivo reducir la discriminación de género al interior del sector agrícola.
kusudi la vuguvugu hilo ni kupunguza ubaguzi wa kijinsia katika sekta ya kilimo.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
desde principios del 2000, la iniciativa empresarial en África ha experimentado un fuerte crecimiento orgánico .
tangu mapema miaka ya 2000, ujasiriamali katika bara la afrika umeonekana kuwa na taarifa za kukua kwa kasi kwa shughuli za kulinda uasili.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
es una iniciativa brillante que genera una acción a nivel mundial, una comunidad global y un gran diálogo.
ni mradi mzuri unaojenga mazoea ya wajibu wa pamoja duniani, familia kidunia, na kuibua mjadala mkubwa.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
la iniciativa original, convocada en facebook, fue retomada por gonzález, quien contactó a los creadores.
mradi halisi, ulianza kwenye mtandao wa facebook , na kuchukuliwa na gonzález, aliyewasiliana na waanzilishaji.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
muchos convinieron que se trata de una gran iniciativa y de que era hora de que los blogueros kenianos empezaran a hablar con una sola voz.
wengi walikubaliana kwamba jambo hilo lilikuwa vuguvugu la maana na kwamba wakati ulikuwa umefika ili wanablogu wa kenya wawe na sauti moja.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
en camerún, el artículo de richard ewelle en el kamer blog concluye con la cultura y la iniciativa empresarial en África:
nchini cameroon, posti ya richard ewelle katika blogu ya kamer inahitimisha kuhusu utamaduni na ujasiriamali barani afrika:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
debido a la demanda pública, tomamos la iniciativa de recopilar una guía para ayudar a los agricultores interesados en iniciar cultivo de hongos en kenia.
kutokana na mahitaji ya umma, sisi tulichukua mpango wa kuandaa mwongozo wa kusaidia wakulima wenye nia ya kuanzisha kilimo cha uyoga nchini kenya
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
la iniciativa usa twitter para publicar noticias relacionadas con el ébola diariamente y para organizar sesiones de chat sobre el ébola entre expertos y público en general:
mradi huo unatumia mtandao wa twita kuposti habari zinazohusiana na ebola kila siku na kuratibu majadiliano yanayohusu virusi vya eloba kati ya wataalam na umma wa wananchi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
con la etiqueta #mozquerpaz , usuarios de facebook, twitter e instagram están empezando a contribuir con sus fotos y mensajes personalizados con la iniciativa.
kwa kutumia kiungo habari #mozquerpaz (#mozwantspeace), watumiaji wa facebook, twitter, na instagram waanza kuchangia picha zao pamoja na maoni yao kuhusiana na kampeni hii.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
el concepto de la iniciativa empresarial africana se basará en los valores culturales africanos, pero también en desarrollar una solidaridad que promueva el entorno socio-económico.
dhana ya ujasiriamali afrika itakuwa na msingi wake katika tunu za utamaduni wa ki-afrika lakini pia katika kujenga mshikamano unaodumisha mazingira ya kiuchumi na kijamii.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
aidan eyakuze y ben taylor, quienes trabajan para la iniciativa independiente de África oriental twaweza, argumentaron que el proyecto de ley otorga demasiado poder a la policía sin un control significativo:
aidan eyakuze na ben taylor, wote wawili wakifanya kazi kwenye asasi huru inayofanya kazi zake afrika mashariki iitwayo twaweza, walikuwa na hoja kwamba muswada huo unatoa nguvu nyingi mno kwa polisi bila namna nzuri ya kuwadhibiti:
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
connectas es una "iniciativa periodística sin fines de lucro que promueve la producción, el intercambio, la capacitación y la difusión de información sobre temas claves para el desarrollo de las américas.
connectas ni mradi usio wa kibiashara wenye mwelekeo wa kiuandishi wa habari wenye lengo la kuhamasisha uzalishaji, ushirikishwaji, mafunzo na usambazaji wa taarifa zinazohusiana na mada ambazo ni muhimu kwa maendeleo ya bara hilo":
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor
el desarrollo de la iniciativa empresarial en África requerirá la creación del concepto de "la iniciativa empresarial africana", y no necesariamente una copia exacta de lo que ésto es en el extranjero.
kukua kwa ujasiriamali barani afrika kutahitaji kubuniwa kwa dhana ya ujasiriamali wa ki-afrika na si lazima iwe kama ilivyo nje ya nchi.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor