İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.
Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.
mladenov si sta dirigendo verso l'aeroporto e mi fornirà aggiornamenti quando vi arriverà.
mladenov anaelekea eneo la tukio na atanipa taarifa kamili kuhusu yanayoendelea atakapofika hapo.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
già sulla strada dall'aeroporto a casa di mia zia, percepivo il progresso ovunque guardassi.
niliweza kuhisi maendeleo kila nilipopatazama, na hiii ilikuwa ni katika safari yangu ya kutoka uwanja wa ndege kulekea nyumbani kwa shangazi yangu.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
abbiamo superato il controllo immigrazione e siamo saliti sul pullman numero 4 fuori dall'aeroporto.
tulipita uhamiaji na tukaingia kwenye basi namba 4 nje ya uwanja wa ndege.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
@omarc: arrivato all'ufficio immigrazione dell'aeroporto mi hanno detto di sedermi.
@omarc: baada ya kufika naamriwa kuketi ofisi ya uhamiaji ya bahrain.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
otto persone sono morte e almeno 34 sono state ferite in un attentato contro giovani israeliani a bordo di un pullman turistico presso l'aeroporto di burgus, in bulgaria.
watu wapatao saba wameuawa katika shambulio lililofanywa dhidi ya kijana raia wa israeli katika basi lililokuwa limebeba watalii karibu na uwanja wa ndege wa burgus nchini bulgaria.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
@bhrabroad: @omarc ti possiamo dare tutte le notizie che ti servono anche se sei all'aeroporto #bahrain
@bhrabroad: @omarc tunaweza kukupa taarifa zote unazotaka hapo uwanja wa ndege #bahrain
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
@omarc: hmm, il servizio di tweets via sms non funziona… sono all'aeroporto di doha, in viaggio verso il bahrain.
@omarc: ala! twita kupitia ujumbe mfupi wa maneno hazifanyi kazi ... nipo uwanja wa ndege wa doha, kuelekea bahrain.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:
il recente processo per appropriazione indebita per milioni di dollari di denaro pubblico, dove sono coinvolti i manager dell'aeroporto del mozambico, un'impresa statale, non fa altro che ricordare la continua presenza della corruzione e vede implicate importanti cariche dello stato.
kesi za hivi karibuni za mameneja wa viwanja vya ndege vya msumbiji, kufujwa kwa mamilioni ya dola ya fedha za taifa vilikumbusha kuwa ufisadi unaendelea kutokea katika ngazi za juu.
Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite: