您搜索了: corporis (拉丁语 - 斯瓦希里语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Latin

Swahili

信息

Latin

corporis

Swahili

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

拉丁语

斯瓦希里语

信息

拉丁语

ille autem dicebat de templo corporis su

斯瓦希里语

lakini yesu alikuwa anaongea juu ya hekalu ambalo ni mwili wake.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

ad consummationem sanctorum in opus ministerii in aedificationem corporis christ

斯瓦希里语

alifanya hivyo apate kuwatayarisha watu wote wa mungu kwa ajili ya kazi ya huduma ya kikristo ili kuujenga mwili wa kristo,

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

quia membra sumus corporis eius de carne eius et de ossibus eiu

斯瓦希里语

maana sisi ni viungo vya mwili wake.)

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

in qua voluntate sanctificati sumus per oblationem corporis christi iesu in seme

斯瓦希里语

kwa kuwa yesu kristo alitimiza mapenzi ya mungu, sisi tunatakaswa dhambi zetu kwa ile dhabihu ya mwili wake aliyotoa mara moja tu, ikatosha.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

lucerna corporis est oculus si fuerit oculus tuus simplex totum corpus tuum lucidum eri

斯瓦希里语

"jicho ni taa ya mwili. kama jicho lako ni zima, mwili wako wote utakuwa katika mwanga.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

拉丁语

in quo et circumcisi estis circumcisione non manufacta in expoliatione corporis carnis in circumcisione christ

斯瓦希里语

katika kuungana na kristo ninyi mlitahiriwa, lakini si kwa tohara ifanywayo na watu, bali inayofanywa na kristo mwenyewe, na ambayo inahusikana na kukombolewa kutoka katika utu wa dhambi.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

itaque quicumque manducaverit panem vel biberit calicem domini indigne reus erit corporis et sanguinis domin

斯瓦希里语

kwa hiyo, kila aulaye mkate huo au kunywa kikombe cha bwana bila kustahili, atakuwa na hatia dhidi ya mwili na damu ya bwana.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

et ipse est caput corporis ecclesiae qui est principium primogenitus ex mortuis ut sit in omnibus ipse primatum tenen

斯瓦希里语

yeye ni kichwa cha mwili wake, yaani kanisa; yeye ni chanzo cha uhai wa huo mwili. yeye ndiye mwanzo, mzaliwa wa kwanza aliyefufuliwa kutoka wafu, ili awe na nafasi ya kwanza katika vitu vyote.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

calicem benedictionis cui benedicimus nonne communicatio sanguinis christi est et panis quem frangimus nonne participatio corporis domini es

斯瓦希里语

tunapomshukuru mungu kwa kikombe kile cha baraka, je, huwa hatushiriki damu ya kristo? na tunapoumega mkate, je, huwa hatushiriki mwili wa kristo?

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

dicat autem aliquis de vobis illis ite in pace calefacimini et saturamini non dederitis autem eis quae necessaria sunt corporis quid proderi

斯瓦希里语

yafaa kitu gani ninyi kuwaambia hao: "nendeni salama mkaote moto na kushiba," bila kuwapatia mahitaji yao ya maisha?

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

拉丁语

lucerna corporis tui est oculus tuus si oculus tuus fuerit simplex totum corpus tuum lucidum erit si autem nequam fuerit etiam corpus tuum tenebrosum eri

斯瓦希里语

jicho lako ni kama taa ya mwili wako; likiwa zima, mwili wako wote utakuwa katika mwanga. jicho lako likiwa bovu, na mwili wako pia utakuwa katika giza.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

拉丁语

ex quo totum corpus conpactum et conexum per omnem iuncturam subministrationis secundum operationem in mensuram uniuscuiusque membri augmentum corporis facit in aedificationem sui in caritat

斯瓦希里语

chini ya uongozi wake, viungo vyote vya mwili hushikamana pamoja, na mwili wote hutegemezwa kwa msaada wa viungo vyake. basi, kila kiungo kikitekeleza kazi yake ipasavyo, mwili wote hukua na kujijenga katika upendo.

最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:

获取更好的翻译,从
7,719,795,246 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認