来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
gratias deo super inenarrabili dono eiu
tumshukuru mungu kwa ajili ya zawadi yake isiyo na kifani!
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
et exultavit spiritus meus in deo salutari me
"moyo wangu wamtukuza bwana, roho yangu inafurahi kwa sababu ya mungu mwokozi wangu.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
appellatus a deo pontifex iuxta ordinem melchisedec
naye mungu akamteua kuwa kuhani mkuu kufuatana na utaratibu wa ukuhani wa melkisedeki.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
gratias ago deo quod omnium vestrum lingua loquo
namshukuru mungu kwamba mimi nasema kwa lugha ngeni zaidi kuliko ninyi nyote.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
quae autem scribo vobis ecce coram deo quia non mentio
haya ninayowaandikieni, mungu anajua; sisemi uongo.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
deo pro nobis melius aliquid providente ut ne sine nobis consummarentu
maana mungu alikuwa ameazimia mpango ulio bora zaidi kwa ajili yetu; yaani wao wangeufikia ukamilifu wakiwa pamoja nasi.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
confidet in deo liberet nunc eum si vult dixit enim quia dei filius su
alimtumainia mungu na kusema eti yeye ni mwana wa mungu; basi, mungu na amwokoe kama anamtaka."
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
deo autem gratias qui dedit nobis victoriam per dominum nostrum iesum christu
lakini tumshukuru mungu anayetupatia ushindi kwa njia ya bwana wetu yesu kristo.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
ad quem accedentes lapidem vivum ab hominibus quidem reprobatum a deo autem electum honorificatu
basi, mwendeeni bwana! yeye ndiye jiwe hai lililokataliwa na watu; lakini mbele ya mungu ni jiwe teule, na la thamani kubwa.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
carissime noli imitari malum sed quod bonum est qui benefacit ex deo est qui malefacit non vidit deu
mpenzi wangu, usifuate mfano mbaya, bali mfano mwema. kila atendaye mema ni wa mungu; lakini anayetenda mabaya hajapata kumwona mungu.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
itaque nolite ante tempus iudicare quoadusque veniat dominus qui et inluminabit abscondita tenebrarum et manifestabit consilia cordium et tunc laus erit unicuique a de
basi, msihukumu kabla ya wakati wake acheni mpaka bwana atakapokuja. yeye atayafichua mambo ya giza yaliyofichika, na kuonyesha wazi nia za mioyo ya watu. ndipo kila mmoja atapata sifa anayostahili kutoka kwa mungu.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
一些相关性较低的人工翻译已被隐藏。
显示低相关性结果。