来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
“Sasa ni shauri la kibinadamu,” anasema.
“Ahora es una causa humanitaria”, dice.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
Uhamaji wa Watoto Wachukuliwa kuwa ni Baa la Kibinadamu
La tragedia de los niños que emigran solos
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
Ninaheshimu ukarimu wao wa kutoa misaada ya kibinadamu.
Respeto la amabilidad de proporcionar ayuda humanitaria.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
Misaada mingi ya kibinadamu inatoka kwa watu wa kawaida.
Desborde de ayuda y apoyo de personas comunes y corrientes.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
Imeishia hapo, kuwa wewe na mimi si ndugu wa kibinadamu tena tena.
Se acabó, tú y yo ya no somos prójimos.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
Mgogoro wa kibinadamu katika nchi unazidi kuwa mbaya siku hadi siku.
La crisis humanitaria en el país está empeorando día a día.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
Hali ya maisha katika majengo ya mji wa Bourroh si ya kibinadamu.
Las condiciones de vida en el hangar de la ciudad de Bourroh son inhumanas.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
Ninyi mnahukumu kwa fikira za kibinadamu, lakini mimi simhukumu mtu.
Vosotros juzgáis según la carne, pero yo no juzgo a nadie
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
Kwa mujibu wa MetropoleHaiti, Marekani tayari imekwishapendekeza misaada ya kibinadamu.
De acuerdo con MetropoleHaiti, los Estados Unidos ya han propuesto ayuda humanitaria.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
Kuniabudu kwao hakufai, maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu.
Y en vano me rinden culto, enseñando como doctrina los mandamientos de hombres
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 2
质量:
Ndugu, napenda mfahamu kwamba ile Habari Njema niliyoihubiri si ujumbe wa kibinadamu.
Pero os hago saber, hermanos, que el evangelio que fue anunciado por mí no es según hombre
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
Je, nasema mambo haya kibinadamu tu? Je, Sheria nayo haisemi hivyo?
¿Será que digo estas cosas sólo como hombre? ¿No lo dice también la ley
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
Kwangu mimi si kitu nikihukumiwa na ninyi, au na mahakama ya kibinadamu; wala sijihukumu.
Para mí es poca cosa el ser juzgado por vosotros o por cualquier tribunal humano; pues ni siquiera yo me juzgo a mí mismo
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
Wasiendelee kushikilia hadithi tupu za Kiyahudi na maagizo ya kibinadamu yanayozuka kwa watu walioukataa ukweli.
no atendiendo a fábulas judaicas ni a mandamientos de hombres que se apartan de la verdad
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
Suala la upatikanaji wa maji safi na kwa bei nafuu ni haki ya kibinadamu lakini hii haijapewa kipaumbele inavyohitajika sana.
El asunto del acceso al agua pura y asequible es un derecho humano fundamental, sin embargo no se le presta la atención necesaria.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
Yeye hakufanywa kuwa kuhani kwa sheria na maagizo ya kibinadamu, bali kwa nguvu ya uhai ambao hauna mwisho.
quien no ha sido constituido conforme al mandamiento de la ley acerca del linaje carnal, sino según el poder de una vida indestructible
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
Serikali imeihakikishia umma kuwa itaendelea kupokea misaada ya kibinadamu kwa ushirikiano wa karibu na OIC na makundi mengine ya kimataifa.
El gobierno ha asegurado al público que continuaría aceptando ayuda humanitaria coordinándo estrechamente con la OCI y otros grupos internacionales.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
Hii ilikuwa ni timu ya wapasuaji 11, wanaofanya kazi za kibinadamu katika nchi mbalimbali duniani, ikiwemo Madagaska.
Se trata de un equipo de 11 cirujanos que realizan obras humanitarias en varios países del mundo siendo uno de ellos Madagascar.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
Hivyo basi, ndugu zangu, tunalo jukumu, lakini si la kuishi kufuatana na maumbile ya kibinadamu.
Así que, hermanos, somos deudores, pero no a la carne para que vivamos conforme a la carne
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
Mambo hayo yote yanahusika na vitu vyenye kuharibika mara tu vinapotumiwa; hayo ni maagizo na mafundisho ya kibinadamu tu.
Tales cosas son destinadas a perecer con el uso, pues son según los mandamientos y las doctrinas de hombres
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量: