来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
magdalene atai
magdalene atai
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
and mary magdalene and mary the mother of joses beheld where he was laid.
nao maria magdalene na maria mama yake yose walipaona hapo alipolazwa.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
and there was mary magdalene, and the other mary, sitting over against the sepulchre.
maria magdalene na yule maria mwingine walikuwa wameketi kulielekea kaburi.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
mary magdalene came and told the disciples that she had seen the lord, and that he had spoken these things unto her.
hivyo maria magdalene akaenda akawapa habari wale wanafunzi kuwa amemwona bwana, na kwamba alikuwa amemwambia hivyo.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
among which was mary magdalene, and mary the mother of james and joses, and the mother of zebedee's children.
miongoni mwao walikuwa maria magdalene, maria mama yao yakobo na yosefu, pamoja na mama yao wana wa zebedayo.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
the first day of the week cometh mary magdalene early, when it was yet dark, unto the sepulchre, and seeth the stone taken away from the sepulchre.
alfajiri na mapema jumapili, kukiwa bado na giza, maria magdalene alikwenda kaburini, akaliona lile jiwe limeondolewa mlangoni pa kaburi.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
it was mary magdalene, and joanna, and mary the mother of james, and other women that were with them, which told these things unto the apostles.
hao waliotoa habari hizo kwa mitume ni: maria magdalene, yoana na maria mama wa yakobo, pamoja na wanawake wengine walioandamana nao.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
there were also women looking on afar off: among whom was mary magdalene, and mary the mother of james the less and of joses, and salome;
walikuwako pia wanawake waliotazama kwa mbali, miongoni mwao akiwa maria toka mji wa magdala, salome, na maria mama wa kina yakobo mdogo na yose.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
and when the sabbath was past, mary magdalene, and mary the mother of james, and salome, had bought sweet spices, that they might come and anoint him.
baada ya siku ya sabato, maria magdalene, salome na maria mama yake yakobo walinunua manukato ili wakaupake mwili wa yesu.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量: