来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
so that we ourselves glory in you in the churches of god for your patience and faith in all your persecutions and tribulations that ye endure:
ndio maana sisi tunajivunia ninyi katika makanisa ya mungu. tunaona fahari juu ya jinsi mnavyoendelea kuamini na kustahimili katika udhalimu wote na mateso mnayopata.
persecutions, afflictions, which came unto me at antioch, at iconium, at lystra; what persecutions i endured: but out of them all the lord delivered me.
udhalimu na mateso yangu. unayajua mambo yaliyonipata huko antiokia, ikonio na lustra. nilivumilia udhalimu mkubwa mno! lakini bwana aliniokoa katika mambo hayo yote.
th i take pleasure in infirmities, in reproaches, in necessities, in persecutions, in distresses for christ's sake: for when i am weak, then am i strong.
kwa hiyo nakubali kwa radhi udhaifu, madharau, taabu, udhalimu na mateso, kwa ajili ya kristo; maana ninapokuwa dhaifu, ndipo ninapokuwa na nguvu.