来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
ICT Pulse reviews a recently published report from the United Nations High Commissioner for Human Rights on the right to privacy in the digital age.
Blogu ya ICT Pulse inapitia taarifa iliyochapishwa hivi karibuni iliyoandaliwa na Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu juu ya haki ya faragha katika enzi hizi za dijitali.
Previously he has also called United Nations resolutions against an Iranian nuclear program just useless torn papers.
Hapo mwanzo aliwahi kusema kuwa nyaraka zilizoonyesha msimamo wa Umoja wa Mataifa dhidi ya Mpango wa Nyuklia wa Irani kama makaratasi yasiyo na maana.
Medical officials say the death toll from an Israeli airstrike outside a United Nations school in the Gaza Strip has risen to 30.
Waganga na maafisa wa afya wanasema idadi ya waliofariki kutokana na shambulio hilo la anga la Israeli nje ya shule ya Umoja wa Mataifa kwenye ukanda wa Gaza imefikia 30.
Recently, the United Nations granted a one-year extension on its mandate addressing the humans rights situation in Cambodia.
Mshindi wa tuzo ya mwaka 2009 ya Frederick Douglass - Sina Vann kutoka Free the Slaves katika Vimeo. Hivi karibuni, Umoja wa Mataifa uliongeza mwaka mmoja zaidi wa mamlaka yake kushughulikia hali ya haki za binadamu nchini Cambodia.
This is a collaboration between the Ministry of Interior, responsible for immigrant affairs, the Iranian Health Insurance Organization and the United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR).
Mpango huu ni ushirikiano kati ya Wizara ya Mambo ya ndani, inayoshughulika na masuala ya wahamiaji, Shirika la Bima ya Afya la Irani na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wakimbizi (UNHCR).
He later traveled to New York to appear before the United Nations General Assembly, but he missed his allotted time slot to deliver his speech.
Baadae alisafiri kwenda New York kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, lakini alishindwa kuonekana wakati aliopangiwa kuhutubia ulipofika.
In particular, they identify the recently released United Nations Mapping report that accuses him of war crimes against members of the Hutu ethnic group.
Kwa mfano, wanaonyesha ripoti iliyotolewa hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa (United Nations Mapping report) inayomtuhumu kwa makosa ya uhalifu wa kivita dhidi ya jamii ya kabila la wa-Hutu.
It will be the first Nelson Mandela International Day, as the United Nations passed a resolution on the day in November 2009, declaring 18 July an international day set aside for humanitarian activities.
Itakuwa ndiyo Siku Kimataifa ya Nelson Mandela ya kwanza tangu Umoja wa Mataifa ulipopitisha azimio mwezi Novemba mwaka 2009, likiitangaza tarehe 18 Julai kwamba ni siku inayotengwa kwa ajili ya shughuli za kuimarisha utu.
Activists gathered outside the Ugandan Mission to the United Nations in New York City in November to protest the bill. Photo courtesy of riekhavoc on Flickr.
Wanaharakati waliokusanyika nje ya ubalozi wa Uganda katika umoja wa Mataifa mjini New york mwezi Novemba ili kuupinga muswada.Picha kwa hisani ya riekhavoc riekhavoc kwenye Flickr
Just last week, the United Nations revised its death toll for the bloody conflict between forces loyal to President Bashar Al-Assad and the factions that are opposed to his rule to more than 191,000.
Wiki iliyopita, Umoja wa Mataifa ulitoa taarifa mpya ya idadi ya vifo inayofikia zaidi ya watu 191,000. Vifo hivi vinatokana na ugomvi uliopo baina ya vikosi vya wanajeshi vinavyomtii Rais Bashar Al-Assad na vikundi vinavyopinga uongozi wake.
With your responsible actions, you can show your compassion and you can raise your voice so that the United Nations fulfills its roles towards protecting the rights of children abused in Syria.
Kwa namna utakavyofanya, unaweza kuonesha namna unavyoguswa na madhila wanayoyapata watoto wa Syria, na unaweza pia ukapaza sauti yako ili Umoja wa Mataifa utimize wajibu wake katika kulinda haki za watoto wa Syria wanaodhalilishwa nchini mwao.