来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
il quinto angelo suonò la tromba e vidi un astro caduto dal cielo sulla terra. gli fu data la chiave del pozzo dell'abisso
kisha malaika wa tano akapiga tarumbeta yake. nami nikaona nyota iliyokuwa imeanguka juu ya nchi kutoka mbinguni. nayo ikapewa ufunguo wa shimo la kuzimu.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
quando l'agnello aprì il quinto sigillo, vidi sotto l'altare le anime di coloro che furono immolati a causa della parola di dio e della testimonianza che gli avevano resa
kisha mwanakondoo akavunja mhuri wa tano. nikaona pale chini ya madhabahu ya kufukizia ubani roho za wale waliouawa kwa sababu ya ujumbe wa mungu, na kwa sababu ya ushuhuda waliotoa.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
e dio proseguì, dicendo: “brulichino le acque di un brulichio di anime viventi* e volino creature volatili sopra la terra sulla faccia della distesa dei cieli”. e dio creava* i grandi mostri marini e ogni anima vivente che si muove, di cui le acque brulicarono secondo le loro specie, e ogni alata creatura volatile secondo la sua specie. e dio vedeva che [era] buono. allora dio li benedisse, dicendo: “siate fecondi e moltiplicatevi e riempite le acque dei bacini dei mari, e le creature volatili si moltiplichino sulla terra”. e si faceva sera e si faceva mattina, un quinto giorno.
mungu akaendelea kusema: “maji na yajawe na nafsi hai na viumbe vinavyoruka viruke juu ya dunia kwenye uso wa anga la mbingu.” mungu akaanza kuumba wanyama wakubwa mno wa baharini na kila nafsi hai inayotembea, wakajaa majini kulingana na aina zake, na kila kiumbe kinachoruka chenye mabawa kulingana na aina yake. kisha mungu akaona ya kuwa ilikuwa vyema. halafu mungu akawabariki, akisema: “zaeni, muwe wengi na kujaza maji yaliyo katika mabonde ya bahari, na viumbe vinavyoruka na viwe vingi duniani.” ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tano
最后更新: 2013-03-02
使用频率: 2
质量:
参考: