来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
cinque volte dai giudei ho ricevuto i trentanove colpi
mara tano nilichapwa vile viboko thelathini na tisa vya wayahudi.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
dalla sua pienezza noi tutti abbiamo ricevuto e grazia su grazia
kutokana na ukamilifu wake sisi tumepokea neema mfululizo.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
camminate dunque nel signore gesù cristo, come l'avete ricevuto
maadamu ninyi mmemkubali kristo yesu kuwa bwana, basi, ishini katika muungano naye.
最后更新: 2012-05-06
使用频率: 1
质量:
chi è peggior empio di chi nasconde qualcosa che ha ricevuto da allah?
na ni nani mwenye kudhulumu zaidi kuliko yule aliye ficha ushahidi alio nao utokao kwa mwenyezi mungu?
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
allah innalzerà il livello di coloro che credono e che hanno ricevuto la scienza.
na mkiambiwa: ondokeni, basi ondokeni. mwenyezi mungu atawainua walio amini miongoni mwenu, na walio pewa ilimu daraja za juu.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
coloro che hanno ricevuto il libro e lo seguono correttamente, quelli sono i credenti.
wale tulio wapa kitabu, wakakisoma kama ipasavyo kusomwa, hao ndio kweli wanakiamini.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
sherry rehman ha poi ricevuto minacce di morte ed è stato costretto a rinchiudersi in casa.
baadae, sherry rehman alipokea vitisho vya kuuawa na hivyo kulazimika kukaa ndani ya nyumba yake bila ya kutoka.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
e rinnegano il resto, anche se è la verità che conferma quello che già avevano ricevuto.
na huyakataa yasiyo kuwa hayo. na hali ya kuwa hii ndiyo haki inayo thibitisha yale waliyo nayo wao.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
la mia ricompensa è in allah, e ho ricevuto l'ordine di essere uno dei musulmani”.
ujira wangu hauko ila kwa mwenyezi mungu. na nimeamrishwa niwe miongoni mwa waislamu.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
chi avrà ricevuto il libro nella mano destra, dirà: “prendete, leggete il mio libro.
basi ama atakaye pewa kitabu chake kwa mkono wake wa kulia, atasema: haya someni kitabu changu!
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
e quelli che avranno ricevuto la scienza, diranno: “oggi ci saranno vergogna e sventura sui miscredenti,
watasema walio pewa ilimu: hakika leo ndiyo hizaya na adhabu itawashukia makafiri,
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
e di' a coloro che hanno ricevuto il libro e agli illetterati: “vi siete sottomessi?”.
na waambie walio pewa kitabu na wasio na kisomo: je! mmesilimu?
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
ahmed ha vissuto per un periodo nel campo profughi di ifo, prima di essere reinstallato nel colorado, usa, di cui ha ricevuto la cittadinanza.
ahmed aliishi kwa muda kwenye kambi ya wakimbizi ya ifo kabla ya kupewa makazi huko colorado nchini marekani ambako alipewa uraia kamili wa marekani.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
chi invece avrà ricevuto il suo libro nella mano sinistra, dirà: “ahimè, se solo non mi fosse stato consegnato il mio libro
na ama atakaye pewa kitabu chake katika mkono wake wa kushoto, basi yeye atasema: laiti nisingeli pewa kitabu changu!
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
ma se cadete ancora [in errore], dopo che avete ricevuto le prove, sappiate allora che allah è eccelso, saggio.
na ikiwa mkateleza baada ya kukufikieni hoja zilizo wazi, basi jueni kuwa mwenyezi mungu ni mwenye nguvu na mwenye hikima.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
dal canto suo l'oci, sostiene di non aver ancora ricevuto la notifica formale del governo di myanmar di non autorizzare l'istituzione di un ufficio di relazione.
wakati huohuo, oic wanasema kuwa bado hawajapokea taarifa rasmi kutoka serikali ya myanmar kufuatia maamuzi yaliyofikiwa ya kutoruhusu kuwepo kwa ofisi ya uwakilishi ya oic.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
coloro che [invece] hanno ricevuto la scienza sanno che questa è la verità che viene dal tuo signore, credono in essa e i loro cuori vi si sottomettono umilmente.
na ili walio pewa ilimu wajue kuwa hayo ni haki itokayo kwa mola wako mlezi na waamini, na zipate kutua nyoyo zao.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
coloro che polemizzano sui segni di allah, senza aver ricevuto nessuna autorità [per farlo], suscitano l'avversione di allah e dei credenti.
hao ambao wanajadiliana katika ishara za mwenyezi mungu pasipo ushahidi wowote ulio wafikia, ni chukizo kubwa mbele ya mwenyezi mungu na mbele ya walio amini.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量:
chi è peggior prevaricatore di colui che inventa menzogne contro allah e dice: “ho ricevuto un'ispirazione!”, quando invece non gli è stato ispirato nulla?
nani dhaalimu mkubwa kuliko yule anaye mzuliya uwongo mwenyezi mungu, au anaye sema: mimi nimeletewa wahyi; na hali hakuletewa wahyi wowote.
最后更新: 2014-07-03
使用频率: 1
质量: