来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
che dalla potenza di dio siete custoditi mediante la fede, per la vostra salvezza, prossima a rivelarsi negli ultimi tempi
hizo zitakuwa zenu ninyi ambao kwa imani mnalindwa salama kwa nguvu ya mungu kwa ajili ya wokovu ambao uko tayari kufunuliwa mwishoni mwa nyakati.
io infatti non mi vergogno del vangelo, poiché è potenza di dio per la salvezza di chiunque crede, del giudeo prima e poi del greco
sioni aibu kutangaza habari njema; yenyewe ni nguvu ya mungu inayowaokoa wote wanaoamini: wayahudi kwanza, na wasio wayahudi pia.
così come io mi sforzo di piacere a tutti in tutto, senza cercare l'utile mio ma quello di molti, perché giungano alla salvezza
muwe kama mimi; najaribu kuwapendeza wote kwa kila njia, bila kutafuta faida yangu mwenyewe ila faida ya wote, wapate kuokolewa.
con essi allah guida sulla via della salvezza quelli che tendono al suo compiacimento. dalle tenebre li trae alla luce, per volontà sua li guida sulla retta via.
mwenyezi mungu huwaongoa wenye kufuata radhi yake katika njia za salama, na huwatoa katika giza kuwapeleka kwenye nuru kwa amri yake, na huwaongoa kwenye njia iliyo nyooka.
carissimi, avevo un gran desiderio di scrivervi riguardo alla nostra salvezza, ma sono stato costretto a farlo per esortarvi a combattere per la fede, che fu trasmessa ai credenti una volta per tutte
ndugu wapenzi, wakati nimo katika jitihada ya kuwaandikieni juu ya ule wokovu tunaoshiriki sote, nimeona lazima ya kuwaandikieni na kuwahimizeni mwendelee kupigana kwa ajili ya imani ambayo mungu amewajalia watu wake mara moja tu kwa wakati wote.
in nessun altro c'è salvezza; non vi è infatti altro nome dato agli uomini sotto il cielo nel quale è stabilito che possiamo essere salvati»
wokovu haupatikani kwa mtu mwingine yeyote, kwa maana duniani pote, binadamu hawakupewa jina la mtu mwingine ambaye sisi tunaweza kuokolewa naye."
ora io domando: forse inciamparono per cadere per sempre? certamente no. ma a causa della loro caduta la salvezza è giunta ai pagani, per suscitare la loro gelosia
basi, nauliza: je, wayahudi wamejikwaa hata wakaangamia kabisa? hata kidogo! kutokana na kosa lao ukombozi umewajia watu wa mataifa mengine, ili wayahudi wapate kuwaonea wivu.