来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
un sovrabbondante aiuto e supporto proviene dalle persone comuni.
misaada mingi ya kibinadamu inatoka kwa watu wa kawaida.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
i filippini sono grati per il supporto offerto da numerosi paesi.
hakuna msaada uliopatikana.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
la mancanza di supporto ad amina da parte dell'opposizione tunisina è stata molto criticata.
kukosekana kwa msaada kwa ajili ya amina kutoka kwa chama cha upinzani kisicho cha kidini nchini tunisia, kulikosolewa.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
moltissimi partecipanti alla parata hanno urlato il loro supporto per la legalizzazione del matrimonio tra persone dello stesso sesso .
washiriki wengi katika maandamano hayo walipaza sauti zao kuunga mkono hatua kuhalalisha kisheria ndoa za jinsia moja.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
perciò quest'uomo merita rispetto e supporto da tutti noi che crediamo nel potere dell'azione civile.
kwa hiyo, mzee huyu anastahili haki na msaada kutoka kwetu sote tunaoamini katika nguvu ya hatua za kiraia.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
"oggi, le persone del sudafrica hanno marciato in supporto dei palestinesi che stanno soffrendo sotto l'occupazione.
"leo, watu wa afrika kusini wameandamana kuwaunga mkono wa-palestina kwa kuteseka na uvamizi huo.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式
i commenti pubblicati sotto i video sono, per la maggior parte, a supporto del fsa, e della loro battaglia contro la dittatura in siria.
maoni yaliyowekwa katika video hizi kwa kiasi kikubwa ni ya kuliunga mkono jeshi la ukombozi wa syria (fsa) ikiwa ni pamoja na uungwaji mkono kwa kukabiliana na utawala wa mabavu nchini syria.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
ma i critici hanno visto il programma di sussidi come una disastrosa politica populista, atta a potenziare la base a supporto del partito della yingluck nella parte settentrionale del paese.
lakini wakosoaji wake wanasema mpango huo ulikuwa na malengo ya kumpa umaarufu na ulitekelezwa ili kukisaidia chama cha yingluck katika sehemu ya kaskazini mwa nchi hiyo.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
infine, la domanda rimane: sarebbe legittimo fare uno strappo alla regola per dare supporto ai ribelli siriani che combattono contro un regime oppressivo?
mwisho, swali linabaki kuwa, sheria zipindishwe ili kuendelea kuwasaidia waasi wa syria katika vita yao dhidi ya mfumo wa ukandamizaji?
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
anche le altre tre attiviste di femen, due francesi e una tedesca, sono parte del processo e rischiano sei mesi di carcere per aver protestato in topless fuori dal tribunale di tunisino in supporto di amina il 29 maggio.
wanaharakati wengine watatu wa femen, wafaransa wawili na mjerumani mmoja pia wanatarajiwa kujibu mashtaka juni 5. wanatarajiwa kufungwa kifungo cha miezi sita kwa kufanya maandamano wakiwa na vifua wazi nje ya makao ya mahakama ya tunis mnamo mei 29 kumuunga mkono amina.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:
l'attenzione alla facilità d'uso e all'accesso universale, i cicli di rilasci regolari e il supporto delle aziende rendono gnome unico tra gli ambienti desktop liberi.
mwelekeo wa gnome kwenye upande wa matutumizi bora, dafaa imara ya matoleo inaitia ubora katika kundi la programu dezo za kidawati
最后更新: 2014-08-15
使用频率: 1
质量:
anche l'amica e attivista per la libertà di espressione jillian c. york (direttrice per la libertà internazionale di espressione presso eff) supporta la causa.
rafiki na mwanaharakti wa uhuru wa mtandaoni jillian c. york, ambye pia ni mkurugenzi wa eff kwa ajili ya kutetea uhuru wa kujieleza kimataifa, anamwunga mkono.
最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量: