来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
aspicientes in auctorem fidei et consummatorem iesum qui pro proposito sibi gaudio sustinuit crucem confusione contempta atque in dextera sedis dei sedi
tumwelekee yesu ambaye ndiye aliyeianzisha imani yetu na ambaye ataikamilisha. kwa ajili ya furaha iliyokuwa inamngojea, yeye alivumilia kifo msalabani, bila kujali juu ya aibu yake, na sasa anaketi upande wa kulia wa kiti cha enzi cha mungu.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
iuxta fidem defuncti sunt omnes isti non acceptis repromissionibus sed a longe eas aspicientes et salutantes et confitentes quia peregrini et hospites sunt supra terra
watu hawa wote walikufa wakiwa na imani. walikufa kabla ya kupokea mambo ambayo mungu alikuwa ameahidi, lakini kwa mbali waliyaona, wakashangilia, na kukiri wazi kwamba wao walikuwa wageni na wakimbizi duniani.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
qui et dixerunt viri galilaei quid statis aspicientes in caelum hic iesus qui adsumptus est a vobis in caelum sic veniet quemadmodum vidistis eum euntem in caelu
wakasema, "enyi wananchi wa galilaya! mbona mnasimama mkitazama angani? yesu huyu ambaye amechukuliwa kutoka kwenu kwenda mbinguni atakuja tena namna hiyohiyo mliivyomwona akienda mbinguni."
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式