来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。
erant autem gentiles quidam ex his qui ascenderant ut adorarent in die fest
kulikuwa na wagiriki kadhaa miongoni mwa watu waliokuwa wamefika yerusalemu kuabudu wakati wa sikukuu hiyo.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
placuit enim eis et debitores sunt eorum nam si spiritalium eorum participes facti sunt gentiles debent et in carnalibus ministrare ei
wao wenyewe wameamua kufanya hivyo; lakini, kwa kweli, hilo ni jukumu lao kwa hao. maana, ikiwa watu wa mataifa mengine wameshiriki baraka za kiroho za wayahudi, wanapaswa nao pia kuwahudumia wayahudi katika mahitaji yao ya kidunia.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
etenim in uno spiritu omnes nos in unum corpus baptizati sumus sive iudaei sive gentiles sive servi sive liberi et omnes unum spiritum potati sumu
maana sisi, tukiwa wayahudi au watu wa mataifa mengine, watumwa au watu huru, sote tumebatizwa kwa roho mmoja katika mwili huo mmoja; na sote tukanyweshwa roho huyo mmoja.
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
viri israhelitae adiuvate hic est homo qui adversus populum et legem et locum hunc omnes ubique docens insuper et gentiles induxit in templum et violavit sanctum locum istu
wakipiga kelele: "wananchi wa israeli, msaada, msaada! huyu ndiye yule mtu anayewafundisha watu kila mahali mambo yanayopinga watu wa israeli, yanayopinga sheria ya mose na mahali hapa patakatifu. hata sasa amewaingiza watu wa mataifa mengine hekaluni na kupatia najisi mahali hapa patakatifu."
最后更新: 2012-05-04
使用频率: 1
质量:
警告:包含不可见的HTML格式